Bunge la Tanganyika liwe Diamond Jubilee Kama mlipopata uhuru mwaka 1961
Kwa vile jengo DDM limegharamikiwa na muungano litabaki kuwa la muungano unless tuwauzie
Kukiwa na serikali 3 means kila bunge litakuwa na jengo lake kujadili mambo yake na hili la Dodoma kwa vyovyote lazima liwe la Tanganyika je la shirikisho litajengwa wapi? Maana la dodoma ni kubwa hivyo bunge la shirikisho haliwafai maana watakuwa 75+ makundi maalum hawatazidi 80
wazenj wapuuzi,,,pato la taifa linatoka wapi,,??,,mnachangia kiasi gani kwenye bajeti??,,,,msijilinganishe na kanda ya ziwa
Hasara yote ya nini? Better option Tanganyika na zanzibar zote zipewe mamlaka kamili halafu zote ziwe fast tracked kujiunga na EAC as matter of urgency. Hivi tutaokoa gharama nyingi na kuundosha kero za muungano once and for all.