Jengo la Bunge la serikali ya shirikisho lijengwe wapi?

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Kukiwa na serikali 3 means kila bunge litakuwa na jengo lake kujadili mambo yake na hili la Dodoma kwa vyovyote lazima liwe la Tanganyika je la shirikisho litajengwa wapi? Maana la dodoma ni kubwa hivyo bunge la shirikisho haliwafai maana watakuwa 75+ makundi maalum hawatazidi 80
 
Bunge la Tanganyika liwe Diamond Jubilee Kama mlipopata uhuru mwaka 1961
 
Hili bunge la Dodoma limejengwa na serikali ya muungano. wizara na mali nyingi huku bara ni za muungano. znz wana haki pia. nyerere alifanya kosa kufanya serikali ya Tanganyika ijulikane kama serikali ya muungano. muungano ukivunjika, watangayika watakua na gharama kubwa kuwafidia wazanzibari ktk mali za muungano. kazi ipo.............
 
Majengo bado yako mengi tuu mbona KARIMJEE!Ata ukumbi wa zamani wa bunge wa dodoma!
 
sijui hapo juu mnabishania nini wakati tumeshasema atutaki serikali tatu.
 
Lijengwe dar ili wazenj wawe wanakunywa chai zenjiii

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mmmmhhh! mimi bado nashangaa rasimu ya katiba ya muungano kutangulia kabla ya Tanganyika au Tanzania bara kupatikana. mmmmhhhhh makubwa!!!!!!! mtoto anazaliwa kabla ya baba. NAULIZA SWALI: Ina maana ikitungwa ya bara baadaye na baadhi ya maoni yakakinzana na hii ya muungano, ya muungano itaguswa tena! hamdhani kuwa ya muungano lazima itaiburuza ya bara iandikwe kwa kufuata vipengele vya hii ya muungano. mmmmmhhhh! kanchi haka kana mambo.
 
lijengwe tandale kwa mtogole au manzese uwanja wa fisi ili watu waliopo eneo ilo la uswahilin waboreshewe makaz yao na miundo mbinu
 
Isomeni vizuri rasimu imependekeza makao makuu ya shirikisho yawe Dar es salaam. Dodoma itabaki kuwa makao makuu ya tanganyika.
 
Hasara yote ya nini? Better option Tanganyika na zanzibar zote zipewe mamlaka kamili halafu zote ziwe fast tracked kujiunga na EAC as matter of urgency. Hivi tutaokoa gharama nyingi na kuundosha kero za muungano once and for all.
 
Kukiwa na serikali 3 means kila bunge litakuwa na jengo lake kujadili mambo yake na hili la Dodoma kwa vyovyote lazima liwe la Tanganyika je la shirikisho litajengwa wapi? Maana la dodoma ni kubwa hivyo bunge la shirikisho haliwafai maana watakuwa 75+ makundi maalum hawatazidi 80

kwa vile lilikua ni la jamhuri ya muungano litaendelea kua la muungano tanganyika watajenga lao
 
wazenj wapuuzi,,,pato la taifa linatoka wapi,,??,,mnachangia kiasi gani kwenye bajeti??,,,,msijilinganishe na kanda ya ziwa

ata kama hatuchangii bado tuna haki yetu kwa sababu ni mali ya ushirika. nyie mna shida nyie na ndio mana mnaungangania muungano mana mnajua ukivunje mtazidi kuhenya. tangu mwanzo mnahenya bac mtazid wallahi
 
Hasara yote ya nini? Better option Tanganyika na zanzibar zote zipewe mamlaka kamili halafu zote ziwe fast tracked kujiunga na EAC as matter of urgency. Hivi tutaokoa gharama nyingi na kuundosha kero za muungano once and for all.

Hii ni bonge la idea!hizo serikali tatu itakuwa ni kupoteza muda tu maana hiyo ya tatu Wazenji hawaitaki.Nini kulazimishana????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom