Unaanza kujenga sehemu ambapo nyumba iyakuwa na thamani bhana. Kwetu ni next stepAlafu wa ivo wakiwa mjini wababe
Wanafake life
Tupeane mbinu wajuba namna ya kujenga home kwanza.Maana wakati mwingine unakuta una familia yako huna kiwanja wala nyumba na upande wa pili maskani pia kunahitajika nyumba ya hadhi
Ni kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017Nimeona picha hii sijui alikuwa kiongozi ila mpaka kifo kimemfikia naona kwao alikuwa kashindwa kupaendeleza.
Hivi hawa watu wapo View attachment 1763679
Ila wanaume tunakumbuka.Vijana wa kiume huwa hamkumbuki kutengeneza kwenu
Unajua katika upambanaji huu unakuta ramani hazisomeki.Kusubiri mpaka ujenge home ndio u make family wakati mwingine inaweza isiwe rahisiKabla ya kuwa na familia tengeneza home kwanza umalizane nao kabisa
HeeeeNi kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
Hata kama, ila nyumba ni muhimu hata kama ni nyumba ndogo tu.Nimekufa mimi aibu inaingiaje![emoji276]
Unajenga kwa fedha ipi brother usawa huu.Mtu akijenga kwao na kupapendezesha nayo mtaleta zengwe!
Asipojenga napo zengwe
Ova