Jenerali Ulimwengu: CCM iko kitandani - inangojea kukata roho

Jenerali Ulimwengu: CCM iko kitandani - inangojea kukata roho

Hivi hakuna watu ndani ya CCM, watu ambao ni level-headed, wa kukishauri chama kiondoke madarakani kwa amani?

Tumeisha mjua sana Ulimwengu, tangia alipoambiwa sio raia wa nchi hii na kitu ambacho ni ukweli, amekuwa na chuki binafsi na serikali. Sasa mtu wa aina hii unategemea atakuwa na fikra pevu na zilizo pevuka ? alisema hivyo 2010 watu wakaenda kwenye uchaguzi akalia lia weeeee, kuitukana tume nk , hatuwezi kutishwa wala kuogopa maneno ya vibaraka kama wakina Ulimwengu
 
Dume la Mbeu utakua wewe? Nashangazwa na Upuuzi wa CCM, Kama Jenerali si RAIA anasubiri nini hapa TZ wala hana VISA ya kuishi hapa, kama sio kujihami ninini? Mbona akiwa kimya anakua RAIA ila akiwasema tu kidogo anakua sio RAIA? Wanafiki wakubwa, Wazandiki MAnyaunyau wakubwa nyie...
 
Mnaodhani kuwa CCM itakufa mnajaribu kuchora picha kwenye maji.
 
...Katika Karne hii ya Sayansi na Tekinolojia, inawezekana kuchora Picha ndani ya Maji....We subiri tu...!!
 
Kama Ulimwengu si raia wa nchi hii basi wananchi wote wa mipakani si raia wa Tanzania. Watu waliokuwa ni fikra finyu ndio wanaokuja na hoja kama hizi za kibaguzi na kijinga badala ya kufikiri na kutoa hoja inayoeleweka. Ulimwengu ni Mtanzania na amefanyia nchi hii mambo mengi likiwemo la kuwa na gazeti makini kuliko magazeti mengi tuliyonayo kwa sasa.
 
Dume la Mbeu utakua wewe? Nashangazwa na Upuuzi wa CCM, Kama Jenerali si RAIA anasubiri nini hapa TZ wala hana VISA ya kuishi hapa, kama sio kujihami ninini? Mbona akiwa kimya anakua RAIA ila akiwasema tu kidogo anakua sio RAIA? Wanafiki wakubwa, Wazandiki MAnyaunyau wakubwa nyie...

heri uwe mpumbavu wa mifukoni kuliko mpumbavu wa kichwani, yaani huyu ULIMWENGU ni mbaya leo hii na sasa ROSTAM wenu ambaye hamjawahi kumtuhumu kwa wizi wake na kukosa uraia mmemwachia aibe na ameondoka kimya kimya nani mbaya?
 
Dume la Mbeu utakua wewe? Nashangazwa na Upuuzi wa CCM, Kama Jenerali si RAIA anasubiri nini hapa TZ wala hana VISA ya kuishi hapa, kama sio kujihami ninini? Mbona akiwa kimya anakua RAIA ila akiwasema tu kidogo anakua sio RAIA? Wanafiki wakubwa, Wazandiki MAnyaunyau wakubwa nyie...

....vikaragosi wakubwa,wauwaji wakubwa,wachawi wanaorogana wao kwa wao.
 
Loh! Huyu mjamaa huwa anawadunda kweli kweli magamba katika makala zake. sidhani iwapo wamo katika nyinyiemu mnaweza kupinga hoja anazosema, sana sana mtakimbilia tu eti siyo Mtanzania etc etc1 Magamba, muwe mnajifunza kujibu hoja zilizoko mezani, msikwepe!
 
Pale CCM bado kuna watu wazuri .... Wahame chama haraka ... Waanzisha CCM yenye misingi na itikadi za Kweli Za TANU na ASP ... Wafanye Update kidogo... Iwe ile CCM AZIMIO LA ARUSHA CCM AA the conservative CCM... SALM AHAMED SALM anaweza kutoa ushauri kwa hili.

CCM ya Pili hii ya kina Kikwete, Lowasa na wenzake ... CCM AZIMIO LA ZANZIBAR CCM AZ The Liberal CCM.

Hawa Conservative CCM hawa ndio wanaweza kuokoa nchi kwa kuwatimua hawa liberal wasinii wakubwa wanohatarisha Taifa. Hawa CCM AA ndio wanaweza kuchuana ki ukweli na CHADEMA na kuleta upinzani wa kweli wenye tija na maendeleo.

..Ninaamuru hili litokeee!!
 
Pamoja na kujua kwamba muda wowote mgonjwa CCM anakata roho lakini bado kuna wapambe uchwara wanajitahidi kweli kukifariji kwamba bado kina hali nzuri, si tunawaona hata hapa jamvini, wakiambiwa ukweli wanakuja juu na udini, ukanda na kusimanga watu na uraia, hata kama huyo Ulimwengu sio raia kuna ubaya gani akatoa ushauri?
Sio siri tena CCM kipo ICU hiyo kila mwenye akili timamu anajua,General ameusema ukweli hakutaka kuwa mnafiki kutafuna maneno kama walivyo baadhi ya wana CCM wanaoujua ukweli lakini wanaongelea vyumbani na wake zao.
Nawashauri Viongozi wa CCM na wapambe wenu tafakarini munakoipeleka hii Nchi, lazima muwe waungwana mukubali kwamba mumeshindwa, tunajua munafikiria jinsi mutakavyokosa kula na kusaza kama mulivyozoea, ila angalieni pia maisha ya munaowaongoza yalivyo, sijui munajisikiaje munapoingia kanisani (kwa wale wakristo) na kusikia mafundisho ya Yesu na wala sijui munajisikiaje mukiona wanachi wenu wanakufa kwa njaa pamoja na maradhi yanayotibika kisa hawana pesa ya kwenda hospital wakati nyinyi na familia zenu munakwenda kutibiwa nje ya Nchi......Muogopeni Mungu.
 
Hivi hakuna watu ndani ya CCM, watu ambao ni level-headed, wa kukishauri chama kiondoke madarakani kwa amani?
Watoke wapi? woote wamelewa na kuvimbiwa sumu kali kabisa za ufisadi, ubaguzi, ugaidi na sasa wanapumulia juu juu matumbo yakiwa yamewavimba mithili ya panya aliyewekewa sumu kwenye unga! Hata waliosoma hadi PhD wanafikiri na kutenda kama wenye mtindio wa ubongo. Wanajitafuna wenyewe kwa wenyewe, ulevi utakapoisha watajikuta The Hague kujibu mashtaka ya hujuma kwa maisha ya watanzania waliohujumiwa wakati wa utawala wao. Wamepora, wamejeruhi, wameiba, wamehujumu na kufanya kila kufuru kwa watanzania.
 
WATU MAKINI NDANI YA ccm mpo wapi,were are you guys.mbona CCM INAPOTEZA MWEELEKEO KILA KUKICHA?????
 
Wasiwasi wangu ni kwamba nao dalili za wazi wazi kwa CCM kutaka kulazimisha kuendelea kutawala kwa gharama yeyote hata kama itagharimu uhai wa Watu wa Taifa hili.
Kwa hali ilivyo sasa hivi niwatake watu kuchukua taadhari ili kulinda uhai wenu.
 
Mwaka 1995, CCM iliokolewa na Nyerere, lakini sijui mwaka huu ni nani atakayeiokoa. Nadhani ni Mwema na Shimbo tu ndio watakaoikoa.
 
Hivi hakuna watu ndani ya CCM, watu ambao ni level-headed, wa kukishauri chama kiondoke madarakani kwa amani?

Mwigulu mchumi daraja la kwanza ndio kaachiwa huo mzigo... hivi yule mzee mangula aliishia wapi?
 
wakati wa Mungu kutawala Tanzania umefika, ndiyo maana kila jambo wanalopanga na kulifanya huwa linajulikana hata kabla ya kufanyika

tumshukuru Mungu; na tuendelee kumwomba Mungu amalizie kazi ya kutuondolea chama cha udhalimu, uhujumu uchumi,umafia na ufisadi wa kutisha ili Tanzania ipate uhuru kamili ilioukosa kwa miaka 50 iliyopita.
 
Jenerali aliwahi kutoa makala moja ya kumpongeza sana JK alipoingia ikulu, kuwa walifahamiana Aljeria, na kuwa Jk alisahau passport yake na yeye Jenerali ndiye alimtunzia,; akamkandia vibaya sana BWM na kummwagia sifa tele JK. Ambacho hakukijua jenerali ni kwamba; Kwete na Kapa dugu moya.........
 
Je, kuna mwelekeo mgonjwa wetu (CCM) anapata nafuu?
 
Mwigulu mchumi daraja la kwanza ndio kaachiwa huo mzigo... hivi yule mzee mangula aliishia wapi?
Kweli ccm iko icu, eti mwigulu ndio kapewa jukumu la kuiokoa. Mweu kuwa daktari haiwezekani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom