Namnukuu "Hakuna kabisa msamaha au sababu zinazoweza kuhalalisha kile kinachotokea Tanzania sasa hivi — uuaji wa watu wetu; kabisa hakuna! Acha wazimu huu wa kudhani kwamba watu wetu ni watumwa wenu na hawawezi kujiondoa chini ya mnyororo wa utumwa wenu. Ndiyo, wanaweza na watafanya hivyo, na itatokea kwa wakati wake ambao unaweza kuwa sasa.