kalimbwane
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 708
- 697
Acha uongo mkuu! Yerere alipojenga viwanda vile ambavyo Mzee wa miaka mingi alibinafsisha vilijengwa na wawekezaji? Au tutajie ni mazingira gani aliyaanda mpaka vikajengwa viwanda vyote vile?Mkuu viwanda sio uyoga useme Kesho uamke tu uvikute, na hakuna Rais duniani anayejenga viwanda peke yake hivyo kumlaumu Magu unakua unamuonea tu, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji na kushawishi potential investors waje kuwekeza, hilo linafanyika. Mkuu kaamua kufanya viwanda kama moja ya vipaumbele vyake nadhani atafanikisha tu with time.
Vile vile katika maelezo yako umeshindwa kuonesha uhusiano was moja kwa moja baina ya maamuzi ya Magu na kupanda kwa bei ya umeme kama unavyodai!
Alipokuwa anaomba kura alisema ataweka mazingira mazuri ya uwekezaji au alisema Tanzania hii itakuwa ya magufuli ya viwanda?
Kauli yake ya kutaifisha viwanda vilivyobinafsishwa na haviendelezwi ikowapi na vingapi ametaifisha?
Hakika kila mchumia janga hula na wa kwao.hakika nasema moto utawatafuna kwa ulaghai wenu na fitina zenu na hamtakuwa Salama hata siku moja.