Jeneral Ulimwengu: Huu ni utawala wa milipuko! Wafanyakazi wanafanya kazi kwa uoga

Mkuu viwanda sio uyoga useme Kesho uamke tu uvikute, na hakuna Rais duniani anayejenga viwanda peke yake hivyo kumlaumu Magu unakua unamuonea tu, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji na kushawishi potential investors waje kuwekeza, hilo linafanyika. Mkuu kaamua kufanya viwanda kama moja ya vipaumbele vyake nadhani atafanikisha tu with time.

Vile vile katika maelezo yako umeshindwa kuonesha uhusiano was moja kwa moja baina ya maamuzi ya Magu na kupanda kwa bei ya umeme kama unavyodai!
Acha uongo mkuu! Yerere alipojenga viwanda vile ambavyo Mzee wa miaka mingi alibinafsisha vilijengwa na wawekezaji? Au tutajie ni mazingira gani aliyaanda mpaka vikajengwa viwanda vyote vile?
Alipokuwa anaomba kura alisema ataweka mazingira mazuri ya uwekezaji au alisema Tanzania hii itakuwa ya magufuli ya viwanda?
Kauli yake ya kutaifisha viwanda vilivyobinafsishwa na haviendelezwi ikowapi na vingapi ametaifisha?
Hakika kila mchumia janga hula na wa kwao.hakika nasema moto utawatafuna kwa ulaghai wenu na fitina zenu na hamtakuwa Salama hata siku moja.
 
Yap nimemsikiliza vizuri anasema jpm anajenga hofu na pia mbinu anayo itumia ni sawa na Edward sokoine,kawawa na agustino mlema
 
Mkuu viwanda sio uyoga useme Kesho uamke tu uvikute, na hakuna Rais duniani anayejenga viwanda peke yake hivyo kumlaumu Magu unakua unamuonea tu, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji na kushawishi potential investors waje kuwekeza, hilo linafanyika. Mkuu kaamua kufanya viwanda kama moja ya vipaumbele vyake nadhani atafanikisha tu with time.

Vile vile katika maelezo yako umeshindwa kuonesha uhusiano was moja kwa moja baina ya maamuzi ya Magu na kupanda kwa bei ya umeme kama unavyodai!

Kwa hiyo kwako mazingira ya kuvutia viwanda ni kupandisha bei ya umeme. Unasema sijaonyesha mahusiano ya kupandisha umeme na rais!? Uko serious na unachokisema? ulivyoshuka kwa 1.5% ilionekana ni jitahada zake kuwanufaisha wanyonge, ila inapopanda yeye hahusiki!!!
 
Wakati mwingine huwa natafakari kuwa "hapa kazi tu" ni kauli mbiu iliyobeba maono gani? Nawaza tu kwa sauti....
Afadhali hata ile ya JK "maisha bora kwa kila mtanzania", hii walau ina maono flani na nini kinatakiwa kuwa accomplished hata kama hatukuona hayo maisha bora.
Eti hapa kazi tu.....kwani tulikuwa hatufanyi kazi?
 
Keshazoea utamu sasa hasemi tena mniombee! Nakumbuka kuna viongoz wa dini waliandika barua ya kuomba kukutana naye mpaka leo hawajawahi kujibiwa!
 
Halafu Stroke wakati mwingine huwa unajidhalilisha tu, juzi wazir mwenye dhamana ametangaza hakuna mafisadi, ww huku vichochoroni unasema kauli zinazofadhiliwa na mafisadi. Hapo ndio ujue sasa ngoma Iimekuwa ngumu. Zile kauli za maskini jeuri sijui hatutaki misaada ya masharti eti kisa watu wanahoji uchaguzi Znz, sheria za mitandoni zinatutokea puani. Kulikuwa na haja gani ya kutumia lugha za kibabe mahali tulipokosea? Ni watu wachache sana tuliokubaliana na lugha zile za kupoteza marafiki tena huku tukiwa hatujatenda haki. Haya matokeo ndio hayo waziri wa uchumi anaimba uchumi kupaa lakini biashara nyingi zinafungwa?
Mmh ngoma inogile...Wamegoma kusaidia ARV
 
Acha uongo mkuu! Yerere alipojenga viwanda vile ambavyo Mzee wa miaka mingi alibinafsisha vilijengwa na wawekezaji? Au tutajie ni mazingira gani aliyaanda mpaka vikajengwa viwanda vyote vile?
Alipokuwa anaomba kura alisema ataweka mazingira mazuri ya uwekezaji au alisema Tanzania hii itakuwa ya magufuli ya viwanda?
Kauli yake ya kutaifisha viwanda vilivyobinafsishwa na haviendelezwi ikowapi na vingapi ametaifisha?
Hakika kila mchumia janga hula na wa kwao.hakika nasema moto utawatafuna kwa ulaghai wenu na fitina zenu na hamtakuwa Salama hata siku moja.
Asilimia kubwa ya viwanda wakati wa nyerere alitaifisha na vingine ni kwa msaada wa wachina
 
The most powerful thing about time is; it changes. Yana mwisho haya!
 
Back
Top Bottom