Haha...sounds like "pingu ya maisha" tena unajihukumu mwenyewe kwa vile viapo ati 'mpaka kifo kitapotenganisha'
Hongera kaka mleta thread, kwa zama hizi miaka tisa mmejitahidi sana, ila mara nyingi jipongeze ukishauvuka wa kumi.. kuna 'reality check' hapo...