Na wala hujafungwaNimekula sana pofu nikiwa maporini huko Simanjiro.View attachment 2945378
Na wala hujafungwaNimekula sana pofu nikiwa maporini huko Simanjiro.View attachment 2945378
We mkaldayo unakula tu baga za Tuna hapo Copen hujui hustle za watoto wa umbwa kama sisi.Acha porojo mgerasi hakikisha usalama wa mbusii hapo sisini.
Uuumbwaa
Wao wanakula mazoe yetu kama alzeti na mahindi sasa ufanyeje?Na wala hujafungwa
Ni sheria mbaya mno mno. Lakini serikali haijali kwa sababu wanaofungwa ni walalahoi wanaotafuta vitoweo vya watoto. Wale wanaouza wanyama wazima wazima kwa waarabu hawaguswi, tena wanasifiwa. Hii bila wananchi kuamka kwenye usingizi tuliolala na kuiondoa CCM haitabadilika. Ila na mahakimu wengine wana roho mbaya mno. Walaaniwe na vizazi vyao. Hata kama ni sheria lakini hakimu inabidi awe na utu na siyo kukomoa.Hii sheria hapana, ni katili tena ya kikoloni. Inaumiza haina faida ya kulinda raslimali bali kumnyanyasa mlalahoi kwa kiasi cha kuogofya.
Hawa wazungu hivyo vichwa wanavikausha vinawekwa sebleni km uremboNimekula sana pofu nikiwa maporini huko Simanjiro.View attachment 2945378
Utaambiwa wanaume tumeumbiwa mateso.....tupambaneKwanini? Mbona kwa bi mdashi wa iringa walihusika?
MFUMO WA CCMAH KESI ZINGINE BWANA, MTU KAKAMATWA NA MISHIKAKI ANAPIGWA MVUA 20 ILA KUNA WATU WAMEIBA MABILIONI HUKO WAMEACHIWA...
AISEEMFUMO WA CCM
mjaneYule mama wa Iringa, rufaa alishinda KWA hoja gani?