yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,901
- 4,129
Kumbe vitambi huwa tunavilea tu wenyewe
Sema kweli nianze kujikondesha? Barnaba ni mnene?Hivi kwa nini binadam akikonda anakuwaga mrefu hata kama alikuwa mfupi
Inategemea kwa hiari au ugonjwaSema kweli nianze kujikondesha? Barnaba ni mnene?


Hata akiharisha aisee uharo wake hausaidii kitu mkuu.
nguzo ni nene sana sio fito hio imetundikwa kanzu,ila kumbe kanzu haina ndevu bila ndevu nisingejua kama ni mtu.Hahahaaaa