Jela jamani mpasikie tu wapendwa

Jela jamani mpasikie tu wapendwa

manina na vikapu vyao kama mpemba katoka gengeni kwa wivu wa mkewe,kweli dhambi hulipwa hata siku ya mauti.

Khaaaaaa, watu mna maneno jmn. Mweeeh.
 
Hawa mbuzi wa kafara tu na watoa kafara wanajua hawa hawawezi ishi mpk mwisho wa kesi kufa kwao ndo mwisho mwa mchezo
 
siku hadi siku wanazidi kuwa kama mapacha

Kumbe sio masiharaa..
 
Back
Top Bottom