Jela jamani mpasikie tu wapendwa

Jela jamani mpasikie tu wapendwa

Duh! Huyu singa singa alitakiwa akimbie nchi kitambo baada tu ya Magu kuchaguliwa. Yeye kazubaa amwangalie mwenzie Rostam Aziz chale zilimcheza.

Ndio hivyo tena it's too late mkuu.
 
Mkuu bora jela kuliko mahabusu.. Mahabusu ni shida sana ila jela kidogo unathaminiwa

Mkuu mahabusu si wanakaa tu hawafanyi kazi kama wafungwa na hata msosi pia si wanakula wanachotaka tofauti na wafungwa au nimekosea mkuu...?
 
Nimejifunza kitu kwamba kuota mvi sio uzee tu, hata matatizo yakikuzidi nywele zinakuwa nyeupe

Mkuu matatizo yanakufanya unazeeka mapema aisee. Acha tu mkuu.
 
Nimejifunza kitu kwamba kuota mvi sio uzee tu, hata matatizo yakikuzidi nywele zinakuwa nyeupe
Ongezea na ile filamu ya samsoni na Delila utaona nguvu ya nywele za kichwa na sio zingine
 
Ongezea na ile filamu ya samsoni na Delila utaona nguvu ya nywele za kichwa na sio zingine

Kwani nywele nyingine hazina nguvu mkuu...?
 
Ruge kama petro au Filipo wa Ayuni😀 jela sio pazuri aseh!!..
 
Back
Top Bottom