Jela jamani mpasikie tu wapendwa

Jela jamani mpasikie tu wapendwa

Mkuu mahabusu si wanakaa tu hawafanyi kazi kama wafungwa na hata msosi pia si wanakula wanachotaka tofauti na wafungwa au nimekosea mkuu...?
Kuna ndugu yangu alipelekwa mahabusu pale segerea miezi nane.. alirudi kama fuvu
hakuna cha chakula cha kuchagua wala nini wanakula ovyo tu sehemu ya kulala ndo usipime chafu halafu wanarundikwa wengi chumba kimoja..
Kama huna ndugu wa kukuletea chakula na nguo utajuta. Nguo ulizoingia nazo zitachakaa mwilini
Hao mbu sasa usipime
 
Si ndio nasema kama una watu wa kukuletea msosi na mavazi si unakula chochote ukitakacho na kuvaa nguo zako tu za kawaida mkuu...?
 
Kuna ndugu yangu alipelekwa mahabusu pale segerea miezi nane.. alirudi kama fuvu
hakuna cha chakula cha kuchagua wala nini wanakula ovyo tu sehemu ya kulala ndo usipime chafu halafu wanarundikwa wengi chumba kimoja..
Kama huna ndugu wa kukuletea chakula na nguo utajuta. Nguo ulizoingia nazo zitachakaa mwilini
Hao mbu sasa usipime
Na kunguni usisahau
 
Sitaki kuamini kabisa hizi drama za chama tawala.
 
Huo ndo uanaume.
hata manabii na mitume walipitia huko.
Kikubwa HAKI ITENDEKE.
 
RUGEMALIRA-6.jpg
CHINI YA ULINZI (2)....jpg
 
singa singa na ndevu zimekuwa nyeupe mzee...
 
Kila mtu alipe kulingana na matendo yake. Ila kama ni kutupiga, jamaa wametutandika aisee. Ruge bhana, rozari utafikiri mweemah kumbe jizi.
 
Duh! Huyu singa singa alitakiwa akimbie nchi kitambo baada tu ya Magu kuchaguliwa. Yeye kazubaa amwangalie mwenzie Rostam Aziz chale zilimcheza.
Jamaa ni tamaa zilimponza, alikuwa yupo S.Africa, akaja bongo kimya kimya kuja kuongeza mkataba na IPTL, wakati anarudi S.A wakamnyaka uwanja wa ndege
 
Back
Top Bottom