Jela jamani mpasikie tu wapendwa

Hunakuwaje na jeuri katika mazingira na shughuli zako tatanishi!? Hata kama risk business inalipa, basi fanya kalikulation basi ya risk hizo.
 
Duh! Huyu singa singa alitakiwa akimbie nchi kitambo baada tu ya Magu kuchaguliwa. Yeye kazubaa amwangalie mwenzie Rostam Aziz chale zilimcheza.
Kinachomponza alijiamini kupitiliza na alijua magu nae angekuwa mpigaji mshirikishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…