Jela hakuna raha hata kama ulale hapa

Jela hakuna raha hata kama ulale hapa

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
35,277
Reaction score
61,235
1397373326131.jpg1397373355298.jpg1397373371546.jpg1397373384741.jpg1397373418009.jpg
 
Kuna sehemu uhuru unao ila shida tupu. Uhuru una faida gani kama unalala stand ya bus huna chakula wala mavazi mazuri huo ni uhuru gani sasa si bora huko. Tupo huru lakini watu hawajui utamu wa usingizi wa godoro hawaiju bulb ya umeme. Choo chenye maji hapo hapo na ma sink yake wanasikia kwa watu. Hapo huu uhuru una maana gani. Ukikaa jera ya huko hutaonana na watu. Ila utakula vizuri utalala pazuri utavaa vizuri vitu ambavyo ni muhimu sana kwa mwanadamu yeyote yule kuliko hata kuonana na watu wengine
 
nani kasema hamna raha bhana! kitu cha water bed unasema hakuna raha?
 
duu nkifungwa jela kama hii nkiachiwa lazima nifanye kosa ili nirud maana uhuru hauna maana zaid ya maisha mazuri tulivu na yanayokidhi.
 
duu nkifungwa jela kama hii nkiachiwa lazima nifanye kosa ili nirud maana uhuru hauna maana zaid ya maisha mazuri tulivu na yanayokidhi.

Kwa kutumia logic hii ndio maana wasichana wanafanya ngono zembe na matajiri wenye virusi vya ukimwi kwa kuhongwa magari na pesa ili mradi wanaamini afadhali kuishi maisa mafupi yenye raha kuliko maisha marefu ya taabu!!! What stupidity!
 
duu nkifungwa jela kama hii nkiachiwa lazima nifanye kosa ili nirud maana uhuru hauna maana zaid ya maisha mazuri tulivu na yanayokidhi.

Usiombe kufungiwa ndani wewe, jela isikie tu unakula kwa amri na unalala kwa amri na haki huna
 
Kwa kutumia logic hii ndio maana wasichana wanafanya ngono zembe na matajiri wenye virusi vya ukimwi kwa kuhongwa magari na pesa ili mradi wanaamini afadhali kuishi maisa mafupi yenye raha kuliko maisha marefu ya taabu!!! What stupidity!

Sasa mzee umekuwa auditor wa maisha ya watu????!!!!
Kama mtu hataki maisha marefu we unaumia nini wakati kaamua kwa hiari????!!
 
Hii ni jela au Ikulu? i mean hizo picha zilizopo hapo juu ni jela au ni Ikulu? kama ni jela basi nawaombeni mniambie ni wapi au ni nchi gani inapatikana hiyo jela ili nijipeleke makusudi nikapate kifungo cha miaka 20 ndani ya jela hiyo.

Ni heri kuishi kwenye jela hiyo miaka mia moja than kuishi Bongo miaka mitatu ya jasho na damu
 
Back
Top Bottom