sijawahi kuona diamond platnamz ametoka wimbo halafu watu msiuponde.. huwa mnaponda hivi hivi afu mwisho wa siku akitoa next song mnaanza kusema the last one was the best .. swali ni kwanini wabongo mnapenda sana kusifia wakati uliopita badala ya uliopo.?
leo hii utakuta mtu anakuambia nyimbo za diamond zilikuwa ni inama, the one, nk lakini cha ajabu kipindi zimetoka hakuzisifia . tuache unafiki ndugu zangu. hii ndio sababu tunasifiaga marehemu kuliko mtu akiwa hai
Sent using
Jamii Forums mobile app