Mzee mbona ujagusia masuala ya misukule?Bongo Flava is really fucked up.
YouTube has turned Good Music into Noisy Sounds.
Kibaraka wake utachaje kuupendaWimbo ni mkali nimeupenda.
Hiyo tittle tu isikupe shida. Mbona kuna nyimbo nying tu zinafafanana tittle!?Huyu Diamond aliaibisha taifa Kama mziki umememshinda apumzikeView attachment 1369573
kwa iyo,Wiz kid kamkopi Burna boy,Diamond akaja kukopi kwa Wizkid.....maajab ya dunia ni kwamba wimbo mmoja unafanana na nyimbo za wasanii watatu😂 Harmo,Burna na Kid,Mond kweli mwizi wa kimataifa
Hata atoe wimbo mbaya kuna punda wake wataipenda. Kuna wengine hata watow wimbo mzuri kiasi gani bado hazitapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
sijawahi kuona diamond platnamz ametoka wimbo halafu watu msiuponde.. huwa mnaponda hivi hivi afu mwisho wa siku akitoa next song mnaanza kusema the last one was the best .. swali ni kwanini wabongo mnapenda sana kusifia wakati uliopita badala ya uliopo.?
leo hii utakuta mtu anakuambia nyimbo za diamond zilikuwa ni inama, the one, nk lakini cha ajabu kipindi zimetoka hakuzisifia . tuache unafiki ndugu zangu. hii ndio sababu tunasifiaga marehemu kuliko mtu akiwa hai
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nacheka sana nikisoma coment za JF cha ajabu ni kwamba hii ngoma ndio itateka nyoyo za wapenda starehe katika kumbi nyingi za starehe siku za mwisho wa mwezi huu!
Kama wimbo huwezi kuuangalia sebuleni na watoto ujue ni uchafu tu.
Kama wimbo hauna dira ya kusikilizika miaka kadhaa ijayo ujue hauna hadhi ya kupigiwa debe.
Wapi mzee Kinkikiii...... vijana wameishiwa!
hata barnaba ni msanii ana fan mawazo yako yamekutuma kwa huyoWazee wa yeebabaaa naona mpo mstari wa mbele.
sio hater nasimamia nachokiona kama wewe unavyoona wasanii mbona wengi tu wanafnya vitu vizur
Hater
Sent using Jamii Forums mobile app