JEJE: Video ya wimbo Mkali toka Diamond

hovyo haijawahi kutokea duniani hatga hamorapa anamshinda mbali, hata ile miziki ya komedy ya akina kingwendu konyekonye na kademu ka mizinga wanamzidi mbali
sijawahi kuona diamond platnamz ametoka wimbo halafu watu msiuponde.. huwa mnaponda hivi hivi afu mwisho wa siku akitoa next song mnaanza kusema the last one was the best .. swali ni kwanini wabongo mnapenda sana kusifia wakati uliopita badala ya uliopo.?

leo hii utakuta mtu anakuambia nyimbo za diamond zilikuwa ni inama, the one, nk lakini cha ajabu kipindi zimetoka hakuzisifia . tuache unafiki ndugu zangu. hii ndio sababu tunasifiaga marehemu kuliko mtu akiwa hai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wimbo huwezi kuuangalia sebuleni na watoto ujue ni uchafu tu.
Kama wimbo hauna dira ya kusikilizika miaka kadhaa ijayo ujue hauna hadhi ya kupigiwa debe.
Wapi mzee Kinkikiii...... vijana wameishiwa!
 
sijawahi kuona diamond platnamz ametoka wimbo halafu watu msiuponde.. huwa mnaponda hivi hivi afu mwisho wa siku akitoa next song mnaanza kusema the last one was the best .. swali ni kwanini wabongo mnapenda sana kusifia wakati uliopita badala ya uliopo.?

leo hii utakuta mtu anakuambia nyimbo za diamond zilikuwa ni inama, the one, nk lakini cha ajabu kipindi zimetoka hakuzisifia . tuache unafiki ndugu zangu. hii ndio sababu tunasifiaga marehemu kuliko mtu akiwa hai

Sent using Jamii Forums mobile app

Number 1 trending sooon.........................timu konde watapata tabu sana
 
Back
Top Bottom