Jeikei alipotembelea vichaa.

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
kikwete kaenda
kuwatembelea vichaa.
Docta akawachagua vichaa
wenye nafuu wampokee.
Basi jk akaja na escort
yake.akawa anazungumza na kichaa mmoja ikawa
hivi:
jk: mbona unanishangaa
hivyo
kichaa: mi nililetwa humu na
watu watatu tu ila wewe inaonekana ni kichaa sana
mpaka umeletwa na watu
wengi sana. Ila karibu.
Jk:'?!?@;!!
 
Kama kuna ukweli ndani yake,inawezekana jeikei ni zaidi ya kichaa kutokana na maelezo yako hayo lakin sina maana ya jk huyu ni jeikei
 
kikwete kaenda
kuwatembelea vichaa.
Docta akawachagua vichaa
wenye nafuu wampokee.
Basi jk akaja na escort
yake.akawa anazungumza na kichaa mmoja ikawa
hivi:
jk: mbona unanishangaa
hivyo
kichaa: mi nililetwa humu na
watu watatu tu ila wewe inaonekana ni kichaa sana
mpaka umeletwa na watu
wengi sana. Ila karibu.
Jk:'?!?@;!!

moderator hii umeiona? hata kama ni chit-chat, haistahili :embarassed2:
 
Back
Top Bottom