Jehanamu ya Tanzania.

Nimeikubalia aisee ila tz tunatisha jombaaa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jahanamu ikipata umeme wa gas mambo yataharibika bora wamachinga waendelee kuigomea gas yao isitoke....
 
Hahahahaha!! Pamoja na kwamba nimefurahi but kuna kitu inabidi sisi ka watanzani tujifunze katika hyo jehanam ya Kitanzania.
 
Ha,ha,kha...
Sasa hii ntamsimulia GF wangu kwanza na washkaji..
Ntaitia Udambwidambwi.. mbona ntawavunjilia mbali mbavu zao.
 
Back
Top Bottom