Wanaume wakibongo mmefulia namna hiyoPole zao walio kwenye ndoa maana hiyo scenario kwa kweli ni ngumu kumeza.
Afadhali sie ambao hatuko kwenye ndoa maana focus yako inakuwa kwa mtoto tu basi.
Wanaume wakibongo mmefulia namna hiyoPole zao walio kwenye ndoa maana hiyo scenario kwa kweli ni ngumu kumeza.
Afadhali sie ambao hatuko kwenye ndoa maana focus yako inakuwa kwa mtoto tu basi.
Nimempenda mtoto wa mgongoni tuu! Kufanya hivyo si kipimo cha chote!
Mwenzetu ndo yamemkuta masikini!!!
ina maana kijacho akizaliwa
hautambeba au?hebu funguka!
wakifanya mnawaita mabwege, wasipofanya mnawaona hawafai watu bwana hawana jema
Kafulia mno jamani
Hahahahaha kufua naa kubeba mtoto ndo kufulia? hahaha ila hata mie siwezi kumfanyia hivyo mtoto wa mwanamke mwenzangu jaman, mtoto mgongoni na kufua juu hii hapana
Kwa kawaida kina dada wengi wanajisikia kumpata mume aliobora
Kwa akina dada jeee unafurahia kumpata mtu wa aina hiii au unachukia?
Na jeee wanaume munafurahia hii hali ya kuwasaidia familia zenu au kwenu ni ubwege?
thats y i love u honeyLov kijacho nitambeba tena sana! Hila nilicho kuwa na maanisha kuwa pengine hiyo si kipimo cha mapenzi ya dhati pengine jamaa ana lazimishwa who knows?
Si wote wanao fanya hivyo wanapenda, wengine wametengenezwa! Ila mimi nitafanya kwa mapenzi yangu!
Anatia aibu kivipi lakini?
Halafu cha ajabu sasa utakuta baadhi ya wanawake nao wanamuona jamaa ni bbwege. SMDH
A a Nyani Ngabu, :nono:
Niaje rafiki? Maana sijakupata kidogo hapo...wataka tafsiri ama?
Hapana..sijui ni akili yangu au ndicho hasa ulichomaanisha by SMDH??! like Shaking My :censored: Head!???:rockon:
SMH = Shaking My Head
SMDH = Shaking My Damn Head
Anatia aibu kivipi lakini?
Halafu cha ajabu sasa utakuta baadhi ya wanawake nao wanamuona jamaa ni bbwege. SMDH
Mhh huyu anatutia aibu wanaume!