Nasisitiza, unaweza kumuonyesha mkeo unampenda kwa dhati kabisa bila kufanya hizo shughuli.
Tuacheni kuiga mambo ya kijinga, fanya majukumu yako ya msingi kama mwanaume. Kudeki, kupika, kufua, kumuogesha mtoto, kupiga pasi n.k kwa namna yoyote havi-prove mapenzi yako kwa mkeo.
Wanawake zetu hata kama hawatuambii lakini nina imani kabisa wangependa kumuona BABA mwenye msimamo na anayejua majukumu yake kama baba and not otherwise.