said Nundu JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 466
- 359
WAZIRI MKUU MPYA WA UINGEREZA ANATOKANA NA DAMU YA KIISLAMU
Enyi Waislamu kuweni makini na ndoa zenu na malezi yenu
Kiongozi wa Chama cha Muhafidhiina (Conservative) cha Uingereza bwana Borris Johnson aliyechaguliwa karibuni na ambaye rasmi ni Waziri Mkuu wa nchi hiyo anatokana na kizazi cha Kiislamu kutoka Uturuki
Babu wa kizazi cha tatu wa Borris Johnson anaitwa bwana Ali Kemal (kutoka Uturuki aliyeoa mwanamke wa kiengereza ). Miongoni mwa watoto wa bwana Ali Kemal, alimzaa bwana Osman Ali Kemal.
Kisha bwana Osman Ali Kemal kama baba yake naye akaoa mwanamke wa kiiengereza bi.Irrene Williams na kumzaa bwana anayeitwa Stanley Johnson (ambae alipaswa aitwe Stanley Kemal) lakini jina la asili ya Kiislamu likaondoshwa.
.
Na huyu bwana Stanley Johnson aliyebadilishwa jina la babu na kupachikwa jina la kiengereza (Johnson) alizaa watoto wanne, mmoja wao akiwa huyu Borris Johnson ambaye ni Waziri Mkuu wa sasa wa Uingereza, mwenye historia ya kutukana Uislamu na Waislamu.
Kuweni makini na ndoa zenu na vizazi vyenu, amma itakuwa hazina kwenu au maangamizi makubwa siku ya Hisabu.
قُلْ إِنَّ الْخَاسِرِينَ الَّذِينَ خَسِرُوا أَنْفُسَهُمْ وَأَهْلِيهِمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ أَلاَ ذَلِكَ هُوَ الْخُسْرَانُ الْمُبِينُ (الزمر: 15).
“…Hakika waliokhasirika (kikweli) ni wale waliojikhasiri nafsi zao na ahli zao Siku ya Kiyama. Tambueni hiyo ni khasara iliyodhahiri” (AZZUMAR : 15)
Masoud Msellem
24 Julai 2019
hizb.or.tz