shalom,
Ndiyo nililipiwa kwa kuwa sikuwa ma uwezo..ila kupewa pesa siyo kosa ziwe za kifisadi ama la...unajuaje pesa ulizosomeshewa na baba yako hazijatokana na Rushwa?
ila nililipiwa na nani?hapo ndipo haujui kabisa....ona unavyopotea,leta ushahidi
siyo hoja..Shaloom na wewe umo kwenye Payroll..Mie nadhani zinachangiwa sana na umasikini wa watanzania...yaani unakuta mzee mzima kama slava anaanza kulia lia apewe fadhila..yaani it totally ashame..
Ukiangalia kabisa ,maneno ya Rostam na Mengi na maelezo yao yote yametoka humu humu JF..
kuna mtu alikuja kuwasaidia ku-compile mambo...Bila JF hakuna kitu
ambao hawamo kwenye payroll ya Mengi
1.Gembe
I have this Feeling,
Wakati mwingine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi.
Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa watakuwa kwenye payroll ya mengi,haiwezekani watu kumtetea tu mzee huyu wakati huo huo wanpigia chepuo utawala wa kisheria(Mzee kaingilia mahakama)!
Ni utawala gani wa kisheria unaruhusu watu kuzungumia kesi zilizoko mahakamani na kutoa hukumu?
Mie mpaka sasa huwa nasikia Rostam ni Fisadi,ila sijawahi kuona ushahidi wa ufisadi wake!
Aliye nao naomba kwa nia nzuri tu aulete,aje na uthibitisho kama,Rostam alikuja na vithibitisho kwa yale aliyoyafanya mengi.
Ila mpaka sasa mie naona ni tetesi kuwa Rostam ni fisadi ila hakuna vithibi,mpaka nitakapothibitishiwa hayo!
uje na ushihidi wa makaratasi yeye ndiyo mmiliki wa KAGODA,yeye ndiyo miliki wa DOWANS na malipo yaliyowahi kufanywa naye!
watu hawa nimewasoma sana na leo nafikia kusema wako katika payroll,Nahisi ila kuna ukweli,maelezo yao kumtetea mengi ni unbiased
Naomba tuchole Jedwali lingine,mie i have a feeling na siku zote huwa sibahatishi nikihisi,huyu ni mmoja watakaokuwa wanafadhiliwa na Mengi!
1.Mzee Mwanakijiji
2.Kubenea
3...............
Namheshimu sana Mwanakijiji ila naomba aje akanushe tu kwa maneno yake kuwa yeye siyo miongoni mwao!
sitaweza kumhukumu mtu bila ya kuwa na ushahidi ila kama tunavyohisi kina rostam ni mafisadi bais mie nahisi kina Mwanakijiji wanalipwa na Mengi,Period
ambao hawamo kwenye payroll ya Mengi
1.Gembe
2.Invisible
3.Msanii
4.Mfumwa
4.Pasco
5...
Invisible nakupenda sana!
Ona mwingine huyo....kakurupuka!
Mederator – naomba nitoe ushauri: Wote wale wanaoonekana katika Jf wanapinga jitihada za dhati za wengine kupinga ufisadi na kuliokoa taifa letu katika janga pamoja na pengine vita ya wenywe kwa wenyewe wafutwe uanachama.
Waanzishe Forum yao ya kutetea mafisadi kwani wana uhuru kabisa wa kufanya hivyo, na wawe wanatoa upuuzi wao huko. Kama vile yalivyoanzishwa hapa nchini magazeti ya kutetea mafisadi – e.g. Sauti ya Umma, Nyundo, Taifa Tanzania (la Bagenda), Tazama, Mtanzania na Rai na mengineyo ambayo sasa yamekuwa ya kufungia maandazi.
Waondoke ktk JF yetu – kwani sisi hapa tuna malengo maalum kama nilivyotaja, na wao kama wana malengo yao kinyume na yetu, basi hapa siyo mahala pao tafadhalini sana, waondoke waka-pursue malengo yao huko.
Ni upuzi kabisa kulinganisha ile JEDWALI YA ROSTAM eti na huu ubunifu wa JEDWALI YA MENGI. Hawa akina Gembe, Invisible, Msanii Pasco ni watu gani, wanajulikana hasa mienendo yao kihalisi katika jamii hadi kuwalinganisha na akina Sophia Simba, Nchimbi, Serukamba na Makamba?
Moderator – Waondoke, waondokeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! Watuache wenyewe.
hebu tupishe sie
Mederator naomba nitoe ushauri: Wote wale wanaoonekana katika Jf wanapinga jitihada za dhati za wengine kupinga ufisadi na kuliokoa taifa letu katika janga pamoja na pengine vita ya wenywe kwa wenyewe wafutwe uanachama.
Waanzishe Forum yao ya kutetea mafisadi kwani wana uhuru kabisa wa kufanya hivyo, na wawe wanatoa upuuzi wao huko. Kama vile yalivyoanzishwa hapa nchini magazeti ya kutetea mafisadi e.g. Sauti ya Umma, Nyundo, Taifa Tanzania (la Bagenda), Tazama, Mtanzania na Rai na mengineyo ambayo sasa yamekuwa ya kufungia maandazi.
Waondoke ktk JF yetu kwani sisi hapa tuna malengo maalum kama nilivyotaja, na wao kama wana malengo yao kinyume na yetu, basi hapa siyo mahala pao tafadhalini sana, waondoke waka-pursue malengo yao huko.
Ni upuzi kabisa kulinganisha ile JEDWALI YA ROSTAM eti na huu ubunifu wa JEDWALI YA MENGI. Hawa akina Gembe, Invisible, Msanii Pasco ni watu gani, wanajulikana hasa mienendo yao kihalisi katika jamii hadi kuwalinganisha na akina Sophia Simba, Nchimbi, Serukamba na Makamba?
Moderator Waondoke, waondokeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! Watuache wenyewe.