Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
tushasema hatutaki moja, mbili, wala tatu ni mamlaka kamili jitieni uziwi ila mwaka huu ndo mwisho wa ukoloni wa Tanganyika ZANZIBAR KWANZA porojo hazitutishi na kwa kuanzia hizo tatu zinatosha coz hicho ndo kifo cha ccm mlinzi wa muungano
sidhani kama kuna kiziwi hapa. watu wote tunasikia vizuri kabsaaa, na kinachosubiriwa ni kuona siku vibaragashia na viswahili virefu vinapungua hapa. neno sahihi siyo kuwatisheni. neno sahihi ni kuwafukuzeni. hatukuwafuata. mlitufuata matapeli nyie. kasome historia vizuri. ondokeni bara!