ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Yupo na bado anaendelea na tiba zake, isipokuwa amebadili strategies za kuwafikia walengwa wakeYule bwana aliyevuma kwenye runinga miaka ya nyuma kwa kutoa ushauri nasaha na tiba kwa maradhi tofauti ya Binadamu
Jamaa alikua mjanja mjanja fulani hivi nakumbuka alikuwa akipiga vita sana watu wenye vitambi lakini cha ajabu alipopata umaarufu na mambo kumwendea vema nae kitambi kikaja kwa Nguvu zote!
Tujuzane huyu mtu yupo wapi? Ina maana ameacha tiba zake mbadala?
Mjanja yule atakua anasoma alama za nyakatiYupo na bado anaendelea na tiba zake, isipokuwa amebadili strategies za kuwafikia walengwa wake
Kwani yule jamaa si ni mchungaji wa kanisa?Mjanja yule atakua anasoma alama za nyakati
Tena "Msabato".......Kwani yule jamaa si ni mchungaji wa kanisa?
Na mwenzake Mwaka??Father of all fake doctors
Boss, mwaka ni kama mjukuu, hapo kati walikuja wengine kadhaa then wakatokea akina mwakaNa mwenzake Mwaka??
HahahaaaKula na huku unakunywa maji haitakiwi.
Kunywa soda au chai haitakiwi.
Kunywa chai na mkate haitakiwi.