Ukisema hivyo inamaana una akili ndogo sana ya kufikiri. Labda ungeweza ku-pendekeza pia naweza kukubali kiwango kikubwa cha fedha ili nijirushe kutoka summit ya Mkapa House bila kuwa na chochote cha kunifanya nitue chini salama.
Ila akini the right amount of money kuhakikisha na kumuahidi anaenilipa nitaipata ya kwako come rain or sunshine, hata ikibidi kuku-drug, ili apate picha za kuku-blackmail.