mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,963
- 2,479
baada ya kufanya utafiti na kugundua kuwa upweke huwa unawatesa watu mimi pamoja na kampuni yangu ya MUCH THAN SIMPLICITy, tumeanzisha huduma mpyaaa kabisa, huduma hii ni ya kumliwaza mtu na kumfariji anapokuwa mpweke, kavurugikiwa yaani hana amani kwa mind yake, tunafanyeje kazi? kampuni yangu ina watu maaLum wa kike na wa kiume wa kufanya kazi hiyo, kwa hiyo kama mteja utatakiwa utume shilingi elfu tano tu kwa siku kwa tigo pesa au m pesa alafu nitakuuliza unataka uliwazwe na mwanamke au mwanamme? ukichagua jinsia nitamuagiza mhusika kisha atakupigia simu then mtakuwa mnapiga story za kila aina ambazo wewe unazipenda mbaka usiku unapolala. HEBU FIKIRIA KAMA WEWE ni MWANAUME then MREMBO anakupigia simu afu ANAKUBEMBELEZA kwa sauti laini na nyororo vilivyo! si utafarijika ehee! na MWANAMKE unapigiwa simu na MWANAMME mwenye sauti tamu ya kushawishi na inakubembeleza huku ukipewa nafasi ya kudeka utakavyo si utafarijika ehee? haya sasa kazi kwenu wenye msongo wa mawazo na mnaojisikisa upweke, MUCH THAN SIMPLICITY ipo kwa ajiri yenu.ANGALIZO: HAMTARUHUSIWA KUONANA ANA KWA ANA.