Je wewe ni mmojawapo? USIHOFU! Hauko mwenyewe.

hahah BJ ( Siwezi kukuita Bellies maana hilo jina kuna mwenyewe ameli patent)
Kweliulichosema...( tip: we mpelekee fundi hizo pasi na feni mbovu halafu mwachie huko huko hahahah utakuwa umeviondoa nyumbani kwako for good) Ila swali niliuliza..je mafundi wanaoachiwa vitu hivyo hufanyaje? pengine ndo huvifanya spea?Najua kwa mfano ukipeleka nguo dry cleaner wameweka tangazo kabisa kuwa nguo zitakazokaa zaidi ya mwezi zitauzwa!

WOS
asante mamii kwa ushauri mwanana, will do that soon!..
Pia kuhusu hao mafundi,wengi wao wamejaza tu maofisi kwao kama vile fundi redio utakuta ana redio nyingi au pasi kibao tena hazijatengenezwa na zingine hazina dalili ya kufanya kazi. Inageuka kuwa stoo tena badala ya ofisi pia kumbuka watu wengine tukipeleka kitu kwa fundi kukifuata ni shughuli sana unless kina umuhimu fulani na kinahitajika haraka sana.
 
Kunazo njia mbalimbali za kupunguza tatizo hili.
Naombeni tuchangie
Nitaanza:
Azimia kuanzia leo kuwa na utaratibu wako wa kuhifadhi kwa mpangilio vitu usivyovihitaji, Gawa, Recycle au tupa kabisa ili kuondoa uchafu kwenye nyumba na mazingira yako:
  • Usihodhi vitu usivyotumia – hii ni pamoja na nguo zisizokutosha, zilizochakaa,michezo ya watoto, vyombo,n.k.
  • Epuka kuwa sanyasanya – Chupa za maji, makontena ya ice cream, makopo, mifuko ya plastic, vitu vilivyoharibika na haivitengenezeki, achana navyo!
  • Acha kung’ang’ania usivyokuwa na matumizi navyo kama barua ulizokwisha soma, magazeti ya zamani,
  • Tafuta eneo maalum la kukusanyia vitu utakavyotaka kuvi donate na mara nafasi itakapojaa basi vigawe kwa walengwa uliowakusudia
Epuka tamaa – usinunue kitu kwa vile tu umekitamani na una pesa.

Tuko pamoja WoS;

Nakuunga mkno sana. Pia wenye nguo na viatu vya ziada, wagawe kwa masikini na yatima au vipelekwe makanisani na misikitini.

Hili liwe ni zoezi la kila mwaka.

Hata tunaponunua furniture mpya nk, ni vema kugawa za zamani kwa ndugu au wasio na uwezo!
 
thats the spirit brother.
keep us posted re: how u r doing.It will motivate others.

.... I did it, yes I did! :)

.... 3.5kilos of paper were shredded. Bills, bank statements, legal letters, etc fell victim of the challenge.

... Thank you!
 
Nitaanza:
Azimia kuanzia leo kuwa na utaratibu wako wa kuhifadhi kwa mpangilio vitu usivyovihitaji, Gawa, Recycle au tupa kabisa ili kuondoa uchafu kwenye nyumba na mazingira yako:
  • Usihodhi vitu usivyotumia – hii ni pamoja na nguo zisizokutosha, zilizochakaa,michezo ya watoto, vyombo,n.k.
  • Epuka kuwa sanyasanya – Chupa za maji, makontena ya ice cream, makopo, mifuko ya plastic, vitu vilivyoharibika na haivitengenezeki, achana navyo!
  • Acha kung’ang’ania usivyokuwa na matumizi navyo kama barua ulizokwisha soma, magazeti ya zamani,
  • Tafuta eneo maalum la kukusanyia vitu utakavyotaka kuvi donate na mara nafasi itakapojaa basi vigawe kwa walengwa uliowakusudia
Epuka tamaa – usinunue kitu kwa vile tu umekitamani na una pesa.

Asante sana, nafikiri mie ntaanzia hapa kwako. Manake huko kwangu nna makorokoro hadi shughuli. Baba mwenye nyumba naye karundika yake alimradi mtafutano tu, kila utakachokishika kutaka kutupa utasikia.......aah aah mama, hicho kinakumbusha of my good days when i was in.....Matokeo yake tumeelemewa si mchezo!
 
jamani mmeshawahi kujiuliza ni kwa vipi naweza kuwa na vitu ninavyovihitaji tu badala ya kujaza kila aina ya unachoweza kuwa nacho – nguo, viatu, vitabu, makaratasi, michezo ya watoto, vyombo vya nyumbani, fenicha nzee,.vifaa vya kufanyia kazi –tool boxes, majembe,vifaa vya ujenzi, magari mabovu nk.
nimekutana na watu wengi tu wakiwa na tatizo hili na wengi wanakosa hata kufurahia mandhari ya nyumba zao kwa vile kuna msongamano wa vitu hivyo na wakati mwingine kuwa ni kero badala ya furaha. Kunazo njia mbalimbali za kupunguza tatizo hili.lakini pa kuanzia ni kujiuliza yafuatayo:
  • inakuwaje hadi unakusanya vitu ambavyo huvihitaji?
  • kitu kama hujakitumia kwa mwaka au zaidi je unakihitaji? Mfano mzuri ni makabrasha/makaratasi/documents, magazeti ya zamani.
  • unaponunua vitu ambavyo tayari ni second hand kumbuka kulikuwa na mtu alikuwa havihitaji.je wewe ndiyo wa kusaidia kukusanya junk unless u really need it?
  • kwa wale shopaholics wenye kupenda kununua nguo, viatu n.k. Je unapojaza makabati na wakati mwingine wala huzivai? Huna mtu ambaye anahitaji ukampatia?
  • kwa wenye watoto – je mwanao hawezi kuvaa nguo za aliyemtangulia kuzaliwa au ni mpaka ununue mpya hata kama zipo nzuri tu zenye kuweza kutumika bado?
  • unajisikiaje pale ambapo wewe umelundika vitu ambavyo hutumii na wakati huohuo kuna watu maskini, wenye kuhitaji kama yatima, wazee, waathirika wa majanga nk.?
naombeni tuchangie
very useful post...
 
i must admit that i'm also a victim of some of the above items...:(
 
Asante sana, nafikiri mie ntaanzia hapa kwako. Manake huko kwangu nna makorokoro hadi shughuli. Baba mwenye nyumba naye karundika yake alimradi mtafutano tu, kila utakachokishika kutaka kutupa utasikia.......aah aah mama, hicho kinakumbusha of my good days when i was in.....Matokeo yake tumeelemewa si mchezo!

Dina..usijali hauko mwenyewe,
Hizi sentimental attachements ndizo zinazoponza wengi.
Dawa ni kufumba macho na kuachana na vitu hivyo.
 
WoS:

What a topic. Nayependa vitu vichache ndani ya nyumbani. Na kuna facts zinazoniongoza au exprience zilizonifanya niwe napenda kuwa na vitu vichache. Ngoja nitaje mbili:

Ya kwanza ni: The world has crossed technological threshold ambayo inaweza ku-maintain supply ya mahitaji yetu na kuleta vitu vipya kila siku. Hivyo sababu ya kufikiria kuwa kitu unachonunua leo kitakusaidia miaka inayokuja haina maana sana. Ukizingatia kuwa miaka inayokuja hicho kitu kitakuwa cha bei ya chini au obsolete.

Kwa mfano: Kama ulitununua blank CD miaka mitano iliyopita ukitegemea kuwa zitakusaidia sasa, ukweli wa mambo matumizi ya CD is almost obsolete.

Kitu cha pili ni kutofautisha functionality na status: Watu wengi wananunua vitu sio kwa functionalities ya vitu hivyo bali kwa status. Kwa mfano mtanzania mwenye kipato anaweza kununua cell Phone ya bei mbaya kwa sababu ya status au jirani au co-worker anayo wakati network anayotumia hai-support features nyingi za cell phone hiyo.
 
Jamani mmeshawahi kujiuliza ni kwa vipi naweza kuwa na vitu ninavyovihitaji tu badala ya kujaza kila aina ya unachoweza kuwa nacho – nguo, viatu, vitabu, makaratasi, michezo ya watoto, vyombo vya nyumbani, fenicha nzee,.vifaa vya kufanyia kazi –tool boxes, majembe,vifaa vya ujenzi, magari mabovu nk.

Nimekutana na watu wengi tu wakiwa na tatizo hili na wengi wanakosa hata kufurahia mandhari ya nyumba zao kwa vile kuna msongamano wa vitu hivyo na wakati mwingine kuwa ni kero badala ya furaha. Kunazo njia mbalimbali za kupunguza tatizo hili.Lakini pa kuanzia ni kujiuliza yafuatayo:
  • Inakuwaje hadi unakusanya vitu ambavyo huvihitaji?
  • Kitu kama hujakitumia kwa mwaka au zaidi je unakihitaji? Mfano mzuri ni makabrasha/makaratasi/documents, magazeti ya zamani.
  • Unaponunua vitu ambavyo tayari ni second hand kumbuka kulikuwa na mtu alikuwa havihitaji.Je wewe ndiyo wa kusaidia kukusanya junk unless u really need it?
  • Kwa wale shopaholics wenye kupenda kununua nguo, viatu n.k. je unapojaza makabati na wakati mwingine wala huzivai? Huna mtu ambaye anahitaji ukampatia?
  • Kwa wenye watoto – je mwanao hawezi kuvaa nguo za aliyemtangulia kuzaliwa au ni mpaka ununue mpya hata kama zipo nzuri tu zenye kuweza kutumika bado?
  • Unajisikiaje pale ambapo wewe umelundika vitu ambavyo hutumii na wakati huohuo kuna watu maskini, wenye kuhitaji kama yatima, wazee, waathirika wa majanga nk.?
Naombeni tuchangie
Mara nyingi hiyo ni indication ya ukwasi wakati fulani nyuma katika historia yako; so unapopata unataka kuendelea kuviona kuwa vipo kind of psychological insecurity. Hata tabia ya ufisadi ni dalili hizohizo kutaka kujilundikia hata kama hunamatumizi mengi kiasi cha kumaliza hicho ulichokiweka. Kwani mbona watu wengi tu wana jenga mansions na wakati huo huo wana labda mtoto mmoja lakini vyumba kumi self contained hivyo vyumba anaishi nani kama si popo na buibui? Any way huu ni mtizamo wangu tu I dont know if it gives a logic. Lakini kama mtu yuko secured na hana uncertainty then hata hitaji kuwa na vitu vingi ina punguza air circulation ndani na kuongeza hali ya kuwa na high blood pressure maana vitu vingi na rangi tofauti tofauti ubongo hautulii vizuri.
 
Back
Top Bottom