Je wewe na mwenzio mnalalaje....? angalia...

Je wewe na mwenzio mnalalaje....? angalia...

kabanga mbona zero distance hapo hakuna yaani huachio hata inch moja

906664-sleeping-arm.jpg
 
ila kiafya wanasema kulala huku mnapumuliana sio vizuri huenda mkaambukizana maradhi,japo ndo hua inanoga na kuongeza chachu ya mapenzi.
 
ila kiafya wanasema kulala huku mnapumuliana sio vizuri huenda mkaambukizana maradhi,japo ndo hua inanoga na kuongeza chachu ya mapenzi.

Wife ataniambukiza maradhi gani? Huo tunaita unyanyapaaji halafu nilivyokusoma hapa wewe ukilala na mwenzi wako itakua unavaa helment.
 
Ninalala position zaidi ya 10 kuanzia nilalapo mpaka niamkapo.
 
Back
Top Bottom