Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
naku support.
ila kiafya wanasema kulala huku mnapumuliana sio vizuri huenda mkaambukizana maradhi,japo ndo hua inanoga na kuongeza chachu ya mapenzi.
Utafiti unaonyesha kuwa jinsi mnavyolala na mwenzio inaonyesha jinsi gani mahusiano yetu yalivyo na nguvu on the other side of the bed, facing the wall?
Umbali baina ya wapenzi, utafiti unaonyesha, wapenzi wanaolala kwa umbali wa chini ya inchi moja, yaonyesha kuwa wanafuraha pamoja kuliko wale wenye kuweka umbali wa zaidi ya inchi 30.
Na wale wapenzi wenye kutumia muda kabla ya kulala kwa kutomasana kidogo(making physical contact) wanakuwa na furaha zaidi kuliko wale wenzangu namie wasio gusana kabisa....
Utafiti huu ulionyeshwa nathe Edinburgh International Science Festival, na kazi ilifanywa na psychiatrist Samuel Dunkell.
Hiyo ni kwa ufupi tu hebu tujiangalie sisi tupo upande gani zaidi....
Karibuni tujadili....
![]()
au kwenye benchi...
![]()
umependaa...?
Yangu Haipo Hapo
mzungu wanne? ukoje huo? bado mnalala hivyo...?