Je wewe na mwenzio mnalalaje....? angalia...

Je wewe na mwenzio mnalalaje....? angalia...

Nikitaka kupiga bao 91% inahusika hapo nikishamaliza 74% inahusika hapo
 
kabanga mbona zero distance hapo hakuna yaani huachio hata inch moja
 
Last edited by a moderator:
yangu haipo kabisa, mimi zero distance ...kisha namshika......ndio napata usingizi .....Wow...
 
yangu haipo kabisa, mimi zero distance ...kisha namshika......ndio napata usingizi .....Wow...

Yaani na mie mwendo ni huu huu! Tena hapo pa kushikana/kukumbatiana kama niko mwenyewe shurti nikumbatie mto maana bila hivyo usingizi utakuwa wa tabu sana!!
 
Back
Top Bottom