Indungu
Senior Member
- Nov 1, 2013
- 172
- 37
mhhhhhhhhh hizo style zinategemea na umri wa ndoa
Yes kwa watu wenye ndoa chakavu,hizo style hazihusiki.
mhhhhhhhhh hizo style zinategemea na umri wa ndoa
Yes kwa watu wenye ndoa chakavu,hizo style hazihusiki.
Na mkono wako unauweka wapi mkuu?
View attachment 151915
Naona style yako ni hii
View attachment 151915
Naona style yako ni hii
mimi style yangu nayo tegemea kulala na mume wangu haipo hapo kabisa
View attachment 151915
Naona style yako ni hii
ah...kisu lazima kilale kwenye ala yake....
acha kulowekea bwana...
au kwenye benchi...inategemeana na siku. siku anarudi akitokea kwa mchepuko, ni kwamba analala kwa kochi mie nalala kwa kitanda kimshazali kwa nafasi. siku akirudi na ki-parcel mkononi bila kupitia kw amchepuko basi atapata masaa yake mawili ya zero distance nk nk