Je, wewe kama muwekezaji kwenye soko la hisa unafahamu maana ya return on equity (roe)?:twende pamoja 👇

Joined
Aug 26, 2022
Posts
64
Reaction score
119
🔑 RETURN ON EQUITY (ROE)

👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida.
Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?”

📌 Jinsi ya kuipata ROE:
ROE= Faida baada ya Kodi (Net Profit) Ă· Mtaji wa wanahisa (Equity).

Hizi data utazipata kwenye Taarifa za kifedha (Financial Statements) za kampuni husika.

📊 Mifano ya mwaka 2024:
â–  CRDB
Net Profit = 551,487,000,000
Equity = 2,173,246,000,000
》ROE = 25.37%

â–  NMB
Net Profit = 646,893,000,000
Equity = 2,559,380,000,000
》ROE = 25.27%

â–  DCB
Net Profit = 317,410,000
Equity = 31,573,620,000
》ROE = 1%

đź“– Tafsiri yake kwa maendeleo ya kampuni:
🗒️Kadri ROE inavyokuwa juu, ndivyo kampuni inaonekana inafaidisha zaidi wanahisa wake, kwa sababu inatumia mtaji waliowekeza kutengeneza faida kubwa.

🗒️ROE ndogo au chini ya kiwango cha riba ya 10 yrs Treasury Bond – 14%) inamaanisha kampuni haitengenezi faida ya kuridhisha kupitia mtaji wa wanahisa wake.

✔️Take home message:
Kabla hujawekeza au kuendelea kushikilia hisa zako, ni vyema kufuatilia ROE. Ikiwa kampuni inaleta ROE kubwa kuliko riba inayotengenezwa na hatifungani ya miaka 10, basi ni dalili nzuri ya kuendelea kuwekeza.

For Private sessions and Consultation
0763 721 523 (WhatsApp)
0617 128 810 (Normal Calls).
 
Mkuu asante sana kwa elimu hii!
Kuna kitu nimeona kwenye app ya DSE VIS-ETF. Sasa sijakielewa
 
Back
Top Bottom