Je, wewe huwa unavutiwa na nini?

Je, wewe huwa unavutiwa na nini?

Mm ni mjinfa so napenda mtu mwenye akili zaidi yangu ili aniongoze kama SweetieLee
Haha mkuu hio kaul yako imenichekesha unakumbuka mazungumzo Fulani kweny guardian of galaxy vol 2 drax alimwambia Quill yeye ni pathetic hivyo

Drax : [to Quill] You just need to find a woman who is pathetic... like you.

Na wewe tafuta aliye kama wewe
 
Hahahaaa yaani Quill wanamdharau sana..
Hata nebula akiwa na Rhodey "war machine " Morag kwenye A4 alimwambia He's an idiot.
Lakini nayeye kazidi kujipunguza sana.
 
Hahaa..!!
Kinachinivutia huwa ni akili zako jamani.!! Muache aringe wakati wake unaruhusu..!!
Muache aringe tena?.. Nasemea wewe hapo utakuwa mbichwa huo [emoji16] baada ya kuzimikiwa na vijana wawili wa jf hao nimewaona ukute ni zaid ya hao yule crushie asipite tu hapa ataumia
 
Well....
1. Body structure...
2. Lips za denda
3. Anayetabasamu kila tukiwa nae.... (aliye sirias kama walinzi wa JPM amsolee).
 
Back
Top Bottom