Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,101
- 62,058
Kila mmoja anasehemu yake anayovutiwa kwa mwenzake;mi huvutiwa sana na chura ya asili iliyojazia na sura inayovutia....nikiona kiumbe wa namna hiyo huwa nachanganyikiwa kabisa.Je wewe huwa unavutiwa na nini?