Je, wewe huwa unavutiwa na nini?

Je, wewe huwa unavutiwa na nini?

Sura,rangi awe mweupe,matiti ambayo hayajalala na tako,ukiwa na sifa hizi wallah nitauza nyumba ya urithi maamaae!!
 
Navutiwa na mwanamke anayependa dini/Anayempenda Mungu hapo namaanisha ana hofu ya Mungu na technically matendo yake yatakuwa thabiti
 
Mwembamba, kifuani kiasi ( sipendi boobs kubwa), katako kiasi, mrefu kidogo, na ofkzoz rangi nyeupe. Hapo ntajenga hata ukweni na ada ntakulipia.
 
Back
Top Bottom