Tunajadili ujinga ujinga tu.
Anyway bright bright woman ndo kile napenda ,
wanini sasa mwanamke hayuko bright!
Mwanaume akuwe tu na seductive eyes, anipite urefu halafu akuwe smart upstairs..!! Mbona nadata..!
kipara vipi?Mwenye low cut hair mi hoi
ha ha ha kilaza anakuwaje mkuu?Mtu mwenye uelewa wa mambo yaan ukimsikiliza vizur unatambua huyu kichwa ana akili..sipendi kilaza mimi
ha ha ha ha hiyo inakuwaje mkuu?Ambao hatuvutiwi na kitu tunampenda mwanamke jumla jumla tu comment wapi
Mwanaume akuwe tu na seductive eyes, anipite urefu halafu akuwe smart upstairs..!! Mbona nadata..!
Mkuu si unajua kucheka ni afya,mwili unapumua.Una nini leo Equation x naona unapita ukichekacheka tu
Shukrani mkuu..!!Hizo kucha ni zako! Bibie
Zinavutia
Hehee..!!Yaaani wewe ukikutana na mimi sipati hata shida ya kukutongoza ni kuvuta n kubamiza tu... Mi nimepitiliza izo sifa aiseee...
Nataman nkujue upo wapi nijipitishe mamamae
mwanyaKila mmoja anasehemu yake anayovutiwa kwa mwenzake;mi huvutiwa sana na chura ya asili iliyojazia na sura inayovutia....nikiona kiumbe wa namna hiyo huwa nachanganyikiwa kabisa.Je wewe huwa unavutiwa na nini?
Toa neno mkuuwatoto wangekuwa wameshalala ningetoa neno. ngoja teenagers walale kwanza
Ukiyaona kwa yeyote yule,network inapotea mkuu?Hahahah
Maziwa, daah tena yakiwa ndani ya ile ya kuyabania yametokeza kwa juu hiivi kdg...
Wa kuzaliwa nao au wa kutengeneza?mwanya
Wowote ili mradi mwanyaWa kuzaliwa nao au wa kutengeneza?
Sawa mkuuWowote ili mradi mwanya