Je, wewe huwa unavutiwa na nini?

Je, wewe huwa unavutiwa na nini?

Sasa si uende kwa wamachinga huwa naona wanatembeza wallet kibao hadi za leather.
Hivi nilisema ukiwa nazo unakuwa una akili timamu eeeh? I know you know[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi nilisema ukiwa nazo unakuwa una akili timamu eeeh? I know you know[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa si ndiyo ukiwa nazo hizo wallet.

Mdogo wangu uwe unaenda kanisani kusali na utafute makanisa yanayotafsiri vifungu ipasavyo.
 
Naona upepo unavuma kingono ngono hii wiki
 
Khaaah....

Sometimes a single-short gun is not enough when you are in a serious battlefield... you need LMG...RPG..or both

Haya bwana matata sema hi kwa daddy.

Aahahahahhaaaa ujue umenichekesha kisailensa... Yaani nimechekaaaa hadi koo limeuma....

Umesema Dadii au Daby....!!???
 
Sasa si ndiyo ukiwa nazo hizo wallet.

Mdogo wangu uwe unaenda kanisani kusali na utafute makanisa yanayotafsiri vifungu ipasavyo.
Utimamu tu ndio unaotakiwa.

Eti "mdogo wangu" you wish huh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
lips za denda ndio zinakuaje?

Kama hao hapo, huyo wa kiume...
gettyimages-91498311-2048x2048.jpg
 
Back
Top Bottom