Je, Waziri Mkuu anajitenga na Serikali?

Je, Waziri Mkuu anajitenga na Serikali?

Sasa kama viongozi wawili wakuu wa juu wanafichwa mambo ya msingi kama hayo, maana yake walikuwa wanadharauliwa na wasaidizi wa Rais. Makosa yote yalisababishwa na Magufuli, aliwaaminisha watu yeye ndo kila kitu. Mungu mtu.
Alisema ana lala na mafaili kitandani ina onesha haku muamini mtu
 
PM bado ana zile siasa za awamu iliyo pita ya siasa za kufoka na kutishia kufukuza kazi na kufunga watu. Naona ina mpa wakati mgumu kwa kua hizo siasa zime isha.

Hajiamini, ni mtu wa maelekezo.
 
Kila nchi hupitia Changamoto tofauti kwa Nyakati Tofauti, Katika Nchi yetu kuliwahi kuwa na Gumzo Masuala Ya Tozo, Tukaja Suala La Umeme na Maji na Sasa Suala la Upandaji wa Mafuta Kidunia.

Katika Masuala Yote haya Waziri Mkuu Hukuwahi Kutoka mbele na Kusemea au Kutetea Masuala haya Hadharani Kuonekana yupo pamoja na Serikali Inayoendeshwa na Rais Samia. Amekuwa akimlaghai Rais Kwa Kuonekana anafanya vikao vya ndani Kutatua Matatizo ila Ukweli Hukuwahi Kutoka nje na Kusemea Serikali na Hatua anazochukua kama kiongozi wa Mawaziri katika kila sakata linalotokea nchini.

Wizara ambayo ipo chini yako ndio kinara wa kuwa na Kiwango cha Chini cha utendaji, Kuna Suala la mwenge lipo kimya husemi kitu (na Taarifa juu ya Hujuma za Mbio za Mwenge unazozitengeneza wakuu wa wilaya na mikoa ambayo tayari Mwenge umekwisha kupita wanafahamu jinsi hali ilivyo) lakini pia kuna suala la Sensa nalo upo kimya hili ni jukumu lako chini ya sera na uratibu.

AMEZOA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA YA KUENDESHWA.
Katika suala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba vikao unavyofanya kumuonesha Rais Unamsaidia ni vya uongo, umezoea kuendeshwa kama ulivyokua ukiendeshwa awamu iliopita lakini huku Unatoenesha wazi huna uwezo wa kifikra wala kuwa kiongozi wa Mawaziri na hizi Hujuma kwa Rais.

Katika awamu ya tano ya uwaziri mkuu wake, mh majaliwa, kiukweli (kwa mtazamo wangu), alikuwa kama mtu mwenye wasiwasi mno asiyejiamni sana. Alizoea kufokewa na kutishiwa 'nitapiga mpaka shangazi zako' hakuwa ni mtu wa kujiamini n.k.

Awamu hii ya sita mambo yamebadilika mambo mengi huanzia bungeni kwanini majaliwa anashindwa kuyadhibiti kuanzia huko ni mtu wa maigizo anayetaka kuonekana ana mikono misafi anataka kuonekana serikali inatengeneza matatizo na kuyatatua. Hii si awamu ya ndiyo mzee ni awamu ya kuonyesha uwezo.

ANAYEISHI KINAFKI
Uislamu unaelekeza mnafiki ana sura tatu kwanza akihaidi atimizi, muongo tatu ameficha uzuri kwenye ubaya kufanya kihiyana. Sura aliyoitengeneza na kutoa matamko kwenye mambo madogo ni sura ya unafki mbona hatumuoni akizungumzia masuala ya sensa, mbona hazungumzi masuala ya mwenge, haonekani kwenye kuzungumzia bei ya mafuta serikali imesimama wapi. Waswahili wanasema kama umeamua kuuza utumbo usiogope nzi. Majaliwa anataka kujitengeneza kuwa yeye ni msafi siasa za janja janja kama za RUTO.

MTENDAJI MKUU WA SHUGHULI ZA SERIKALI NI NANI KAMA SI WAZIRI MKUU?.
Wakati huu ambapo tupo kwenye kupanda kwa bei za mafuta na nishati nyinginezo waziri mkuu yupo kimya na lawama zote ni kwa Waziri wa nishati,

Matatizo ya kukosekana kwa maji lawama ni kwa Rais na waziri wa Maji, Yakifungiwa magazeti, vifurushi vikipanda lawama ni kwa Rais na waziri wa habari. Waziri Mkuu anasimamia jambo gani? badala yake yupo kushanga kupanda kwa bei ya mchele ambao unalimwa hapa nchini kwamba hajui athari ni suala la kupanda kwa bei ya mafuta ndiyo kuna athiri uzalishaji hivyo bei kupanda?

Ukitazama mfumo huo aliojiwekea anataka kuonekana msafi kuna ajenda nyuma ya pazia na genge lake. Kama Huna Uwezo Jiuzulu kama Una Ndoto za Urais Jiuzulu, Usiharibu nchi kwa kutaka Rais Aonekane Mbaya na Wewe Mzuri kwa Kuweka Mikono yako Safi.

Tunafahamu kuna baadhi ya wabunge Livingstone Lusinde (kibajaji), Luhaga Mpina Kuanza kupishana kwa kauli ndani ya chama ni mgogoro inayotengenezwa na genge la Waziri mkuu. mtifuano wa hoja zinazo kinzana katika siasa ya CCM. Katika awamu ya tano hatukuwahi kusikia kauli za kushangaza kutoka kwa wabunge kutupia lawama Mawaziri siku zote maswali ya kitaifa bungeni hujibiwa na Waziri mkuu ambaye ni mtendaji mkuu wa Serikali.

WAVURUGAJI WA AWAMU YA SITA
Wamepanga kuleta mtikisiko wa siasa za kistaarabu zilizoanza kutamalaki na kwa kuanza kuchokonoa na kuharibu taswira ya mwenyekiti. Mawaziri wanatukanwa na wabunge kwa kashfa za hovyo Waziri Mkuu hatoi uelekezi wa ajenda kama nchi tunasimama wapi?

Mh, Rais tunakuomba muangalie Waziri wako mkuu kwa jicho la tatu kama anakutosha.
kama ni majungu umefundwa haswa,unalijua genge lili mtoa uhai hayati magufuli?
 
Usizunguke sana.

Sema tu shida yenu PM hajihusishi na vijembe wala kukandia awamu iliyopita kama afanyavyo Mama yenu.
 
PM bado ana zile siasa za awamu iliyo pita ya siasa za kufoka na kutishia kufukuza kazi na kufunga watu. Naona ina mpa wakati mgumu kwa kua hizo siasa zime isha.

Hajiamini, ni mtu wa maelekezo.
Nan alimfokea waziri kwa kumwambia NONSESE, ? Ivi ni nani aliyeitisha kikao cha kumchamba Ndugai? Iv ni nani alisema yeye ni CHUI?
 
Bila shaka we ni January au Ridhiwani,mmeamua kuleta umbea wenu humu.
 
Kila nchi hupitia Changamoto tofauti kwa Nyakati Tofauti, Katika Nchi yetu kuliwahi kuwa na Gumzo Masuala Ya Tozo, Tukaja Suala La Umeme na Maji na Sasa Suala la Upandaji wa Mafuta Kidunia.

Katika Masuala Yote haya Waziri Mkuu Hukuwahi Kutoka mbele na Kusemea au Kutetea Masuala haya Hadharani Kuonekana yupo pamoja na Serikali Inayoendeshwa na Rais Samia. Amekuwa akimlaghai Rais Kwa Kuonekana anafanya vikao vya ndani Kutatua Matatizo ila Ukweli Hukuwahi Kutoka nje na Kusemea Serikali na Hatua anazochukua kama kiongozi wa Mawaziri katika kila sakata linalotokea nchini.

Wizara ambayo ipo chini yako ndio kinara wa kuwa na Kiwango cha Chini cha utendaji, Kuna Suala la mwenge lipo kimya husemi kitu (na Taarifa juu ya Hujuma za Mbio za Mwenge unazozitengeneza wakuu wa wilaya na mikoa ambayo tayari Mwenge umekwisha kupita wanafahamu jinsi hali ilivyo) lakini pia kuna suala la Sensa nalo upo kimya hili ni jukumu lako chini ya sera na uratibu.

AMEZOA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA YA KUENDESHWA.
Katika suala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba vikao unavyofanya kumuonesha Rais Unamsaidia ni vya uongo, umezoea kuendeshwa kama ulivyokua ukiendeshwa awamu iliopita lakini huku Unatoenesha wazi huna uwezo wa kifikra wala kuwa kiongozi wa Mawaziri na hizi Hujuma kwa Rais.

Katika awamu ya tano ya uwaziri mkuu wake, mh majaliwa, kiukweli (kwa mtazamo wangu), alikuwa kama mtu mwenye wasiwasi mno asiyejiamni sana. Alizoea kufokewa na kutishiwa 'nitapiga mpaka shangazi zako' hakuwa ni mtu wa kujiamini n.k.

Awamu hii ya sita mambo yamebadilika mambo mengi huanzia bungeni kwanini majaliwa anashindwa kuyadhibiti kuanzia huko ni mtu wa maigizo anayetaka kuonekana ana mikono misafi anataka kuonekana serikali inatengeneza matatizo na kuyatatua. Hii si awamu ya ndiyo mzee ni awamu ya kuonyesha uwezo.

ANAYEISHI KINAFKI
Uislamu unaelekeza mnafiki ana sura tatu kwanza akihaidi atimizi, muongo tatu ameficha uzuri kwenye ubaya kufanya kihiyana. Sura aliyoitengeneza na kutoa matamko kwenye mambo madogo ni sura ya unafki mbona hatumuoni akizungumzia masuala ya sensa, mbona hazungumzi masuala ya mwenge, haonekani kwenye kuzungumzia bei ya mafuta serikali imesimama wapi. Waswahili wanasema kama umeamua kuuza utumbo usiogope nzi. Majaliwa anataka kujitengeneza kuwa yeye ni msafi siasa za janja janja kama za RUTO.

MTENDAJI MKUU WA SHUGHULI ZA SERIKALI NI NANI KAMA SI WAZIRI MKUU?.
Wakati huu ambapo tupo kwenye kupanda kwa bei za mafuta na nishati nyinginezo waziri mkuu yupo kimya na lawama zote ni kwa Waziri wa nishati,

Matatizo ya kukosekana kwa maji lawama ni kwa Rais na waziri wa Maji, Yakifungiwa magazeti, vifurushi vikipanda lawama ni kwa Rais na waziri wa habari. Waziri Mkuu anasimamia jambo gani? badala yake yupo kushanga kupanda kwa bei ya mchele ambao unalimwa hapa nchini kwamba hajui athari ni suala la kupanda kwa bei ya mafuta ndiyo kuna athiri uzalishaji hivyo bei kupanda?

Ukitazama mfumo huo aliojiwekea anataka kuonekana msafi kuna ajenda nyuma ya pazia na genge lake. Kama Huna Uwezo Jiuzulu kama Una Ndoto za Urais Jiuzulu, Usiharibu nchi kwa kutaka Rais Aonekane Mbaya na Wewe Mzuri kwa Kuweka Mikono yako Safi.

Tunafahamu kuna baadhi ya wabunge Livingstone Lusinde (kibajaji), Luhaga Mpina Kuanza kupishana kwa kauli ndani ya chama ni mgogoro inayotengenezwa na genge la Waziri mkuu. mtifuano wa hoja zinazo kinzana katika siasa ya CCM. Katika awamu ya tano hatukuwahi kusikia kauli za kushangaza kutoka kwa wabunge kutupia lawama Mawaziri siku zote maswali ya kitaifa bungeni hujibiwa na Waziri mkuu ambaye ni mtendaji mkuu wa Serikali.

WAVURUGAJI WA AWAMU YA SITA
Wamepanga kuleta mtikisiko wa siasa za kistaarabu zilizoanza kutamalaki na kwa kuanza kuchokonoa na kuharibu taswira ya mwenyekiti. Mawaziri wanatukanwa na wabunge kwa kashfa za hovyo Waziri Mkuu hatoi uelekezi wa ajenda kama nchi tunasimama wapi?

Mh, Rais tunakuomba muangalie Waziri wako mkuu kwa jicho la tatu kama anakutosha.
Mbona mama alikuwa halalipii watu kama JPM na bado aliachwa Akaendelea na umakamu wake.

Mbona huongelei jinsi makamu wa Rais Dk Mpango alivyowekwa kushoto kufanya majukumu yake.

Unamlazimisha
PM Majaliwa aingie kwenye kundi la walamba asali?

Kwa kiongozi mzalendo aliyekuwa bega kwa bega na Magufuli kwa moyo wa dhati.

Lazima atakuwa hata akiogopa kutenda kazi kwa asilimia 100% .

Kwa sababu wote waliorudishwa kushika hatamu zao yeye anaujuwa uchafu wao wote.

Hata yeye anapenda kuishi.

Lakimi hapendi kufanya kazi na walamba asali wa team Msoga.

Wenye akili mtanielewa!
 
Nyie ndiyo mlitaka kufuta somo la uraia mlete historia ya Magufuli... unayafahamu Majukumu ya Waziri Mkuu.
 
Akivaa miwani analinga,akitokea hadharani anamzidi Mama umaarufu,akivaa suti anajiona yeye Rais,Sasa afanyeje!?
Tunauliza swali la maana kikatiba unaleta mambo ya chuki kama unampenda kanywe naye chai tu.
 
Kila nchi hupitia Changamoto tofauti kwa Nyakati Tofauti, Katika Nchi yetu kuliwahi kuwa na Gumzo Masuala Ya Tozo, Tukaja Suala La Umeme na Maji na Sasa Suala la Upandaji wa Mafuta Kidunia.

Katika Masuala Yote haya Waziri Mkuu Hukuwahi Kutoka mbele na Kusemea au Kutetea Masuala haya Hadharani Kuonekana yupo pamoja na Serikali Inayoendeshwa na Rais Samia. Amekuwa akimlaghai Rais Kwa Kuonekana anafanya vikao vya ndani Kutatua Matatizo ila Ukweli Hukuwahi Kutoka nje na Kusemea Serikali na Hatua anazochukua kama kiongozi wa Mawaziri katika kila sakata linalotokea nchini.

Wizara ambayo ipo chini yako ndio kinara wa kuwa na Kiwango cha Chini cha utendaji, Kuna Suala la mwenge lipo kimya husemi kitu (na Taarifa juu ya Hujuma za Mbio za Mwenge unazozitengeneza wakuu wa wilaya na mikoa ambayo tayari Mwenge umekwisha kupita wanafahamu jinsi hali ilivyo) lakini pia kuna suala la Sensa nalo upo kimya hili ni jukumu lako chini ya sera na uratibu.

AMEZOA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA YA KUENDESHWA.
Katika suala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba vikao unavyofanya kumuonesha Rais Unamsaidia ni vya uongo, umezoea kuendeshwa kama ulivyokua ukiendeshwa awamu iliopita lakini huku Unatoenesha wazi huna uwezo wa kifikra wala kuwa kiongozi wa Mawaziri na hizi Hujuma kwa Rais.

Katika awamu ya tano ya uwaziri mkuu wake, mh majaliwa, kiukweli (kwa mtazamo wangu), alikuwa kama mtu mwenye wasiwasi mno asiyejiamni sana. Alizoea kufokewa na kutishiwa 'nitapiga mpaka shangazi zako' hakuwa ni mtu wa kujiamini n.k.

Awamu hii ya sita mambo yamebadilika mambo mengi huanzia bungeni kwanini majaliwa anashindwa kuyadhibiti kuanzia huko ni mtu wa maigizo anayetaka kuonekana ana mikono misafi anataka kuonekana serikali inatengeneza matatizo na kuyatatua. Hii si awamu ya ndiyo mzee ni awamu ya kuonyesha uwezo.

ANAYEISHI KINAFKI
Uislamu unaelekeza mnafiki ana sura tatu kwanza akihaidi atimizi, muongo tatu ameficha uzuri kwenye ubaya kufanya kihiyana. Sura aliyoitengeneza na kutoa matamko kwenye mambo madogo ni sura ya unafki mbona hatumuoni akizungumzia masuala ya sensa, mbona hazungumzi masuala ya mwenge, haonekani kwenye kuzungumzia bei ya mafuta serikali imesimama wapi. Waswahili wanasema kama umeamua kuuza utumbo usiogope nzi. Majaliwa anataka kujitengeneza kuwa yeye ni msafi siasa za janja janja kama za RUTO.

MTENDAJI MKUU WA SHUGHULI ZA SERIKALI NI NANI KAMA SI WAZIRI MKUU?.
Wakati huu ambapo tupo kwenye kupanda kwa bei za mafuta na nishati nyinginezo waziri mkuu yupo kimya na lawama zote ni kwa Waziri wa nishati,

Matatizo ya kukosekana kwa maji lawama ni kwa Rais na waziri wa Maji, Yakifungiwa magazeti, vifurushi vikipanda lawama ni kwa Rais na waziri wa habari. Waziri Mkuu anasimamia jambo gani? badala yake yupo kushanga kupanda kwa bei ya mchele ambao unalimwa hapa nchini kwamba hajui athari ni suala la kupanda kwa bei ya mafuta ndiyo kuna athiri uzalishaji hivyo bei kupanda?

Ukitazama mfumo huo aliojiwekea anataka kuonekana msafi kuna ajenda nyuma ya pazia na genge lake. Kama Huna Uwezo Jiuzulu kama Una Ndoto za Urais Jiuzulu, Usiharibu nchi kwa kutaka Rais Aonekane Mbaya na Wewe Mzuri kwa Kuweka Mikono yako Safi.

Tunafahamu kuna baadhi ya wabunge Livingstone Lusinde (kibajaji), Luhaga Mpina Kuanza kupishana kwa kauli ndani ya chama ni mgogoro inayotengenezwa na genge la Waziri mkuu. mtifuano wa hoja zinazo kinzana katika siasa ya CCM. Katika awamu ya tano hatukuwahi kusikia kauli za kushangaza kutoka kwa wabunge kutupia lawama Mawaziri siku zote maswali ya kitaifa bungeni hujibiwa na Waziri mkuu ambaye ni mtendaji mkuu wa Serikali.

WAVURUGAJI WA AWAMU YA SITA
Wamepanga kuleta mtikisiko wa siasa za kistaarabu zilizoanza kutamalaki na kwa kuanza kuchokonoa na kuharibu taswira ya mwenyekiti. Mawaziri wanatukanwa na wabunge kwa kashfa za hovyo Waziri Mkuu hatoi uelekezi wa ajenda kama nchi tunasimama wapi?

Mh, Rais tunakuomba muangalie Waziri wako mkuu kwa jicho la tatu kama anakutosha.
mhuu wewe kweli ni bibititi 1.......Huo muda ungechukua jembe kwenda kulima ungekuwa umemaliza ekari. Mwache PM wa watanzania
 
Back
Top Bottom