Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,751
- 3,691
Hivi mtu anaweza kufanya kazi akamfunika mkuu wake wa kazi?! Nyie nyie ndio mtaanza PM na Makamo wa Rais wanamfunika Mkuu wao. Mambo ya uongozi wa nchi ni kama mtihani tatizo hutakiwi upate marks nyingi kuliko mkuu wako maana utambiwa unamfunika au unataka kuchukua hiyo nafasi. Kama una uwezo wa kupata 9/10 na Mkuu wako 6/10. Wewe wa chini unatakiwa ujikoseshe majibu kwa makusudi upate angalau 4or5/10 usimzidi na kumfunika mkuu wako wa 6/10.