Je, Wazazi mnayajua wanayofanya mabinti zenu wawapo vyuoni?

Hee hee leo kumekucha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu yeyote aliyefika chuo ni mtu mzima tayari!sasa unampa vipi mzazi majukumu mazito kama hayo ya kumchunga mtu mzima mwenzake!?wewe mtoa mada unajua mkeo huwa anafanya nini pindi wewe unapoondoka nyumbani!?acheni kutupatia kazi ya kulinda bahari ebo!
Poor mind

Sent by Diaspora
 
Wengine wanapokuwa vyuoni hujifunza michezo ya kurudi nyuma a.k.a tigo na wanatoka kwenye familia za kidini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yani vyuo ni tatzo skuiz! Nina ushahidi mtoto wa mchungaji ambae ni family friend alilipia hostel akija tembelewa na ndugu zake wanamkuta hostel ila muda wote hua anaishi kwa mshikaji kama mke na mume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzazi afanyeje hapo mkuu? Hebu assume wewe ndiye mzazi nz una binti yako anasoma chuo. Utafanyeje kumchunga?

Wanaoingia vyuoni wanakuwa tayari ni watu wazima, hivyo tabia mbovu wanakuwa tayari wanayo japo kabla huenda walikua wakiifanya Kwa kificho. Vyuoni wapo pia wanaoishi kimaadili usisahau japo huenda ni wachache kuliko waliozibuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…