the_forum
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 774
- 1,001
- Thread starter
- #21
Sio kila hatua ni ya kupiga mkuu!kuna wakati unapaswa usimame kwa utulivu,na upige hatua wakati sahihi unapofika.Wake zenu au nyie hamkupitia chuo? Mlifanya huo uchafu au mlikuwa malaika. Maisha yana hatua, mbaya zaidi ukiruka hatua za awali.
Sent using Jamii Forums mobile app