Je, Wayahudi (Waebrania) ndiyo walijenga mapiramidi ya Misri?

Himaya ya Misri ilianza miaka mingi sana. Ilianzishwa mwaka 3000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Huo ulikuwa utawala wa mwanzo wa kujenga dola. Utawala wa mwanzo ukaisha mwaka 2700 hivi kabla ya Yesu.

Kuanzia mwaka 2700--2200 kabla ya Yesu kukawa na utawala unaoitwa wa kale(old kingdom). Huu ndiyo wakati mapiramidi Mengi na makubwa ya Misri yalijengwa. Piramidi kubwa la Giza lilijengwa wakati huu na pharaoh Khufu.

Kuanzia mwaka 2180--2055 BC kulitokea kipindi cha machafuko, vita nk.

Kuanzia 2040--1782 BC kukawa na utawala wa nyakati za kati(Middle kingdom). Kumbuka kuwa toka hapo mwanzo hadi sasa watawala wote walikuwa ni waafrika weusi. Lakini mwishoni mwa kipindi hiki watu kutoka mashariki ya kati wakaanza kuingia Misri. Na Misri ilipata pharaoh wake wa kwanza kutoka mashariki ya kati katika wakati huu. Mwishoni mwa Kipindi hiki ndipo waebrania waliingia nchini Misri.

Kuanzia mwaka 1650--1550BC kulitokea kipindi cha vurugu sana na watu kutoka mashariki ya kati(levant) wakavamia Misri na kuweka utawala wao. Walitawala upande wa kaskazini lakini bado upande wa kusini ilitawaliwa na wamisri wazawa. Wavamizi hao wanaitwa Hyskos.

Kuanzia mwaka 1550--1077BC kinaitwa kipindi cha utawala mpya. Hapa watawala kutoka mashariki ya kati walitimuliwa na kilikuwa kipindi cha mapharaoh mchanganyiko, weupe, weusi na machotara. Ni katika kipindi hiki ndipo waebrania walitoka Misri.

Kuanzia mwaka 1000--300BC kilikuwa kipindi cha mambo mengi, wanubi walivamia na kuanzisha utawala unaoitwa black pharaohs. Wakafukuzwa, nchi ikagawanyika hadi mwishowe kuja kuanzishwa kwa utawala wa wagiriki. Mmoja wa watawala hao wa kigiriki alikuwa ni Cleopatra.

So hapa inaonyesha kuwa.

1. Japo Misri ilikuwa na miradi mikubwa ya ujenzi wa mapiramidi na majengo mengine karibu katika kipindi chake chote. Lakini ujenzi wa mapiramidi na piramidi kubwa kuliko yote lilijengwa miaka 700 kabla ya waebrania kuingia Misri.

2. Mapharaoh wa mwanzo, waliojenga mapiramidi makubwa na kwa miaka kama 1200 walikuwa ni weusi.

3. Ni kweli Misri ilikuwa na mapharaoh weupe lakini walikuja baadaye kama wavamizi.
Kwa ufupi sana ni kwamba Pyramids zilijengwa kabla ya kipindi cha Nuhu.Knowledge ya kujenga Pyramids na Silaha za kisasa ilikuwa introduced na Wanefili.
 
Maandishi (hieroglapyhs) na carbon dating ya artifacts mbalimbali zinaonyesha miaka ambayo mapiramidi yalijengwa.
 
Ukijua historia ya neno YEHOVA, YAHWEH na ELOHIMU, utagundua ni kikundi cha watu wachache tu kilichokuwa kifungoni nchini mistri baada ya kitoka kilipita maeneo ya Midiani na kukuta hadith na vigano kisha kwenda kuwa simulia wakazi wa kaanani.

Kuna jamaa mmoja mbabe anaitwa YAHOO aka YAHWEH(YHW) aliwasaidia wafungwa hao waliokuwa wakitoka Misri.
 
Waafrica tunapenda kuishi kwa historia na propaganda??
Sisi tupambane tuwe Bora kwa nyakati zetu
Lazima uyajue ya Jana uweze kupambana ya kesho. You cannot run from your History for it is the Truth.
Himaya ya Misri ilianza miaka mingi sana. Ilianzishwa mwaka 3000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Huo ulikuwa utawala wa mwanzo wa kujenga dola. Utawala wa mwanzo ukaisha mwaka 2700 hivi kabla ya Yesu.

Kuanzia mwaka 2700--2200 kabla ya Yesu kukawa na utawala unaoitwa wa kale(old kingdom). Huu ndiyo wakati mapiramidi Mengi na makubwa ya Misri yalijengwa. Piramidi kubwa la Giza lilijengwa wakati huu na pharaoh Khufu.

Kuanzia mwaka 2180--2055 BC kulitokea kipindi cha machafuko, vita nk.

Kuanzia 2040--1782 BC kukawa na utawala wa nyakati za kati(Middle kingdom). Kumbuka kuwa toka hapo mwanzo hadi sasa watawala wote walikuwa ni waafrika weusi. Lakini mwishoni mwa kipindi hiki watu kutoka mashariki ya kati wakaanza kuingia Misri. Na Misri ilipata pharaoh wake wa kwanza kutoka mashariki ya kati katika wakati huu. Mwishoni mwa Kipindi hiki ndipo waebrania waliingia nchini Misri.

Kuanzia mwaka 1650--1550BC kulitokea kipindi cha vurugu sana na watu kutoka mashariki ya kati(levant) wakavamia Misri na kuweka utawala wao. Walitawala upande wa kaskazini lakini bado upande wa kusini ilitawaliwa na wamisri wazawa. Wavamizi hao wanaitwa Hyskos.

Kuanzia mwaka 1550--1077BC kinaitwa kipindi cha utawala mpya. Hapa watawala kutoka mashariki ya kati walitimuliwa na kilikuwa kipindi cha mapharaoh mchanganyiko, weupe, weusi na machotara. Ni katika kipindi hiki ndipo waebrania walitoka Misri.

Kuanzia mwaka 1000--300BC kilikuwa kipindi cha mambo mengi, wanubi walivamia na kuanzisha utawala unaoitwa black pharaohs. Wakafukuzwa, nchi ikagawanyika hadi mwishowe kuja kuanzishwa kwa utawala wa wagiriki. Mmoja wa watawala hao wa kigiriki alikuwa ni Cleopatra.

So hapa inaonyesha kuwa.

1. Japo Misri ilikuwa na miradi mikubwa ya ujenzi wa mapiramidi na majengo mengine karibu katika kipindi chake chote. Lakini ujenzi wa mapiramidi na piramidi kubwa kuliko yote lilijengwa miaka 700 kabla ya waebrania kuingia Misri.

2. Mapharaoh wa mwanzo, waliojenga mapiramidi makubwa na kwa miaka kama 1200 walikuwa ni weusi.

3. Ni kweli Misri ilikuwa na mapharaoh weupe lakini walikuja baadaye kama wavamizi.
Swala nyeti...walijenga pyramids Kwa njia ipi wakati uzani wa Kila jiwe ni Tani mbili?

Khufu pyramid kajengwa Kwa mawe zaidi ya milioni mbili.

Mawe haya kachongwa vipi wakati available tools were copper? kumbuka mawe ni aina ya granite na basalt a very hard rock.
Je waliinua mawe Kwa njia Gani na kusafirisha Kwa zaidi ya km 300?

Je purpose ya pyramids ilikuwa ni ipi? Kuna uwezekano zilikuwa zakutengeneza umeme?

Pyramids zipo Mexico, South America, Bosnia, Russia, Uchina, Indonesia, Antarctica na hata Sudan. Kuna vile pyramids ni 20,000 years old?
 
Naungana na mdau mmoja hapo juu waafrika hizi historia hazina tija
Pic%20Layer_2021111311215721.jpg

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Lazima uyajue ya Jana uweze kupambana ya kesho. You cannot run from your History for it is the Truth.

Swala nyeti...walijenga pyramids Kwa njia ipi wakati uzani wa Kila jiwe ni Tani mbili?

Khufu pyramid kajengwa Kwa mawe zaidi ya milioni mbili.

Mawe haya kachongwa vipi wakati available tools were copper? kumbuka mawe ni aina ya granite na basalt a very hard rock.
Je waliinua mawe Kwa njia Gani na kusafirisha Kwa zaidi ya km 300?

Je purpose ya pyramids ilikuwa ni ipi? Kuna uwezekano zilikuwa zakutengeneza umeme?

Pyramids zipo Mexico, South America, Bosnia, Russia, Uchina, Indonesia, Antarctica na hata Sudan. Kuna vile pyramids ni 20,000 years old?
Kwanza mawe yaliyotumika ni sand stones. Haya ni malaini siyo kama granite. Waliinua kwa kutumia cranes za miti na mambo ya inclined planes. Pia ndani ya mapyramid kulikuwa na njia ya kupitisha mawe iwapo wamefika kimo kirefu.

Inaonekana haya mapyramid yalijengwa kama sehemu ya mafarao kusafiri kutoka maisha ya duniani kwenda kuwa nyota milele. Hesabu zake zinaonyesha yamejengwa kufuata mpangilio wa nyota. Halafu unajua jinsi dini ilivyo na nguvu kumobilise watu. Watu waliamini kwa kufanya ile kazi nao watapata uzima wa milele, hata makaburi ya wajenzi wa mapiramidi inaonyesha walizikwa kuelekea mapiramidi yaliko.
 
JPM alitaka kuufuta huu upuuzi wa kuita historia,kuna mengi wazungu wameweka uzungu
 
Kwanza mawe yaliyotumika ni sand stones. Haya ni malaini siyo kama granite. Waliinua kwa kutumia cranes za miti na mambo ya inclined planes. Pia ndani ya mapyramid kulikuwa na njia ya kupitisha mawe iwapo wamefika kimo kirefu.

Inaonekana haya mapyramid yalijengwa kama sehemu ya mafarao kusafiri kutoka maisha ya duniani kwenda kuwa nyota milele. Hesabu zake zinaonyesha yamejengwa kufuata mpangilio wa nyota. Halafu unajua jinsi dini ilivyo na nguvu kumobilise watu. Watu waliamini kwa kufanya ile kazi nao watapata uzima wa milele, hata makaburi ya wajenzi wa mapiramidi inaonyesha walizikwa kuelekea mapiramidi yaliko.
Asikudanganye mtu Wala kitabu, pyramids zilijengwa Kwa teknolojia ambayo hata wakati wetu hatujafikia. Jiwe la Tani 1000 litainuliwa vipi Kwa crane za mbao? Kusafirisha Toka kware Hadi eneo LA kazi zaidi ya km300?
 
We unataka kuleta conspiracy za aliens!!! Hakukuwa na mawe ya tani 1,000. Na quarries za mawe zilikuwa hapo karibu si km 300
 
hakuna Conspiracy hapa wewe Ile sio man made buildings Acha ubishi,hakuna Binadamu Wala Watu wangeweza Jenga site Ile impossible,Ile ni kazi ya Alliens kutoka galaxies za juu huko mbona inaeleweka hata Kwa logic ndogo tu!
Viumbe waliojenga Yale madude waliokua na mission kubwa Duniani ya kufuata madini kama gold na ndio maana ukiangalia kipindi inapokadiliwa ujenzi wa hayo madude ni golden age na Hao Alliens ndio ANNUNAKI na ukiangalia bronze za utambulisho wao utaona mababu waliowahusudu Hawa viumbe kama miungu wamewachongea bronze kuwaonesha na imenakshiwa dhahabu kwenye kinyago Cha kuonesha utambulisho wa miungu Hao,
Na ndio maana baada ya wale viumbe kuondoka na kurudi kwao Watu wakaanza kuwaabudu kama miungu wakitegemea ipo siku watarudi na ndio nadharia ya Dini zote ikazaliwa hapo kuabudu miungu kutoka juu
Hata hizi dini za Abrahamic chanzo chake ni ANUNNAK Hao Hao manaa hata yeye alitokea jamii za waashuru wa Mesopotamia!
Wake up dude upate maarifa!
 
We unataka kuleta conspiracy za aliens!!! Hakukuwa na mawe ya tani 1,000. Na quarries za mawe zilikuwa hapo karibu si km 300
Unsema nini wewe?
Aikiliza hii clip hapa. Kama unadai kuwa ni watu walifanya haya mamnbo, basi urefu wao unatakiwa uwe km 10 kwenda juu, halafu upana wao labda km 5

Siyo ngano, hiyo ndiyo historia ya Misri. Ilianza kuingiliana na wageni miaka ya 1800BC. Kuanzia hapo watawala wakawa mchanganyiko. Lakini kuanzia miaka ya 3000 BC hadi hapo mafarao walikuwa waafrica weusi tu.
Watawala weupe ndani ya Misri ( maaraufu km Ptolemy) Ulianza baada ya jemedari Alexander the great wa Macedonia kuishinda kivita Misri na Mashariki yakati yoote!! hapo ndo palikuwa km USA leo hii!

kwa hiyo huo utawala wa Misri na Mashariki ya kati ukagawanywa kwa majemedari wake wa vita!! na wale waliopewa Misri walikaa eneo la mji wa Alexandria tu!!

kwa ajili ya chuki dhidi ya weupe ...weusi hawakupenda utawala wa kigeni(weupe) usio jua Lugha yao ya ki-coptic! Wagriki walitaka wamisri waongee kigiriki lkn ilishindikana na hao watawala hawakujua kuongea ki coptic!

ki coptic ni lugha rasmi ya wamisri wkt huo! hivo walishindwa kutawala vizuri! ajili ya language Barrier!...hii ikafanya waishi mjini Alexandria pale tu!! just like wahindi wanavyo ishi maeneo ya Kariakoo/kisutu tu!

Leo hii siyo Rahisi kumkuta Muhindi/Muarabu anajirusha au kuishi Kawe, au Gongo la Mboto, Japo wahindi wengi wamezaliwa hapo hapo Bongo!

Mfano huyu Muhindi aliye tekwa na jiwe alizaliwa Singida lkn hajui kiswahili vizuri!!..sasa na hao Watawala Weupe Magriki Nao walikaa mjini Alexandria tu! hawakujua ki coptic, walitawala kutokea huko!
 
Back
Top Bottom