The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Hahaha niambie? Unaweza kabidhi kilonga longa kwa chombo?
Anapokuja na hilo wazo yeye anakua ashajiandaa.....sasa na mimi anipe muda wa kujiandaa...
Hahahahaaa unaona sasa....ndio maana nasemaga ndoa au uhusiano ni upuuzi na magirini tu. Mtakuwaje kitu kimoja halafu kila mtu awe na chake ambacho hakiguswi na mwenzake? Hakuna maana kabisa.
Mtu kama una watu wako na umeoa kwa nini hao watu usiwape namba ya mwenzio kama namba mbadala endapo hautapatikana ktk namba yako ya kila siku?
Lakini ahsanteni kwa michango yenu. Kwa kiasi fulani nimeweza kuthibitisha kile nilichokuwa nakifikiria kuwa cha kweli. Watu ni wabinafsi sana na kwa asili tuko waongo/wadanganyifu na tunailinda hali hiyo kupitia visingizio vya eti 'changu ni changu' au 'faragha'.
Ndiyo maana sitakuja kuoa. Yaani nioe halafu mke wangu awe na vyake ambavyo haviingiliki? WTF????!!!!!!
NN in reality hivi kuna kitu kinaitwa wawili kuwa kitu kimoja? kila mtu yupo kivyake, hata pacha ingawa wametoka kwenye mfuko mmoja lakini kila mtu yupo kivyake. ndoa na mahusiano ni kama hivyo tu. tumeungana sawa, lakini haimaanishi sasa inabidi tufikirie sawa, tutende sawa, tutembee sawa n.k. ndo maana utakuta kila mtu ana marafiki zake, ana mambo yake anayoyapenda n.k.
na tena nikuambie NN ukioa mke ambaye atakuwa anataka kuingilia kila unachokifanya (kukufwatilia) nakuambia utaichoka hiyo ndoa mapema sana. Hata kama hakuna jambo lolote baya unalolifanya uhuru wako ni muhimu sana, hata kwa mkeo!!
hapo penye red haswa ndo la msingi mengine yatafuata,Kwangu itakuwa ngumu sio kuficha kitu la hasha ni mambo ya kazi. Simu yangu imeconnectiwa na shughuli za ofisi kwa hio kuna update nitaweza kukosa au kupigiwa na bosi kuna emergence kazini nishindwe kwa vile atakuwa nayo mama. Cha muhimu ni kupendana na kuaminiana. Infact siku hizi vicheche vina simu maalumu vinaacha ofisini kwenye droo hazifiki nyumbani kabisa.
Infact siku hizi vicheche vina simu maalumu vinaacha ofisini kwenye droo hazifiki nyumbani kabisa.
Mkuu ni kweli kabisa... tena kama sie wenye watoto ndio inabidi na watoto waende kwa bibi zao kabisaaa... vitu vyote vya kioo tunafungia ndani, maana songombingo ni balaaKWA HISANI YA NDOA YETU(JAPO SIJAFIKA HUKO)......NTAVINJA UKIMYA.... NA KUMWOMBA AWE NA VIDONGE VYA KUSHUHSA PRESHA:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:!!
Kwangu itakuwa ngumu sio kuficha kitu la hasha ni mambo ya kazi. Simu yangu imeconnectiwa na shughuli za ofisi kwa hio kuna update nitaweza kukosa au kupigiwa na bosi kuna emergence kazini nishindwe kwa vile atakuwa nayo mama. Cha muhimu ni kupendana na kuaminiana. Infact siku hizi vicheche vina simu maalumu vinaacha ofisini kwenye droo hazifiki nyumbani kabisa.
kwenye red, nakubaliana na wewe SS, simpi mtu simu yangu ng'o labda niisahau bahati mbaya aikute!!!
Mkuu ni kweli kabisa... tena kama sie wenye watoto ndio inabidi na watoto waende kwa bibi zao kabisaaa... vitu vyote vya kioo tunafungia ndani, maana songombingo ni balaa
I find it very hard kumuachia mke wangu simu even for one hour, sijui yeye anajifeel vipi kuniachia simu, ntajaribu leo halafu tujue
chloe.obrain najaribu kupiga mahesabu umesahau simu nyumbani halafu mume umemuacha nyumbani hiyo spidi ya kurudi kuifuata hiyo simu nyumbani sipati picha
ha ha ha ha ha ha :becky::becky::becky::becky: we acha tu, yaani ni shaaaa......!!!! dakika sifuri halafu ukifika unajibalaguza kuuliza "habari za hapa"????? ilimradi ujue kama mambo yamewiva au la! ni noma ati.
ila hizi simu zina mambo nyie acheni tu!!
kwenye red, nakubaliana na wewe SS, simpi mtu simu yangu ng'o labda niisahau bahati mbaya aikute!!!
chloe.obrain najaribu kupiga mahesabu umesahau simu nyumbani halafu mume umemuacha nyumbani hiyo spidi ya kurudi kuifuata hiyo simu nyumbani sipati picha
ha ha ha ha ha ha :becky::becky::becky::becky: we acha tu, yaani ni shaaaa......!!!! dakika sifuri halafu ukifika unajibalaguza kuuliza "habari za hapa"????? ilimradi ujue kama mambo yamewiva au la! ni noma ati.
ila hizi simu zina mambo nyie acheni tu!!
I find it very hard kumuachia mke wangu simu even for one hour, sijui yeye anajifeel vipi kuniachia simu, ntajaribu leo halafu tujue
simu simu simu............simuuuuuuuuuu simu.................simu...........enhee endeleeni wadau