Je! Watu Maarufu Tanzania wamejipanga vipi kuonyesha Mchango wao juu ya Corona?

Yomakon

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
638
679
Habari za mda huu wapendwa, tumaini kila mmoja Ni mzima wa afya pamoja na mapambano ya Corona.

Niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu. Tanzania tumejaliwa kuwa na watu maarufu ambao kiupande Fulani wanauwezo wa kipesa yaani Uchumi mkubwa Kama vile:

Kwa upande wa wasanii:

Diamond platinumz
Alikiba
AY
Harmonize
Mwana FA
SUGU
Professor Jay
Na wengine wengi

Na kwaupande wa wafanyabiashara wakubwa Kuna watu Ni Muhimu katika Vita ya kupambana dhidi ya Corona ambao ni:
Mo
Bakheresa
Rostam
Mbwana Samatta

Michango yao watu hawa Ni Muhimu Sana kwa wakati huu wakati was mapambano dhidi ya Corona sababu kwa asilimia kubwa wanategemea watu wa Hali ya chini ili waweze kufanikisha mambo yao, kukaa kwao kimya moja kwa moja inaonyesha tabia ya Choyo ...

Powerd by Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakedness

Kumbe Samatta yupo kundi la wafanyabiashara?Nakushauri ukapime corona itakuwa ishaanza kutafuna Medula Oblongata.
 
Umaarufu wao umekuwa harufu usitegemee chochote cha maana ukiondoa wafanyabiashara wenye kujitambua.
 
Habari za mda huu wapendwa, tumaini kila mmoja Ni mzima wa afya pamoja na mapambano ya Corona.

Niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu. Tanzania tumejaliwa kuwa na watu maarufu ambao kiupande Fulani wanauwezo wa kipesa yaani Uchumi mkubwa Kama vile:

Kwa upande wa wasanii:

Diamond platinumz
Alikiba
AY
Harmonize
Mwana FA
SUGU
Professor Jay
Na wengine wengi

Na kwaupande wa wafanyabiashara wakubwa Kuna watu Ni Muhimu katika Vita ya kupambana dhidi ya Corona ambao ni:
Mo
Bakheresa
Rostam
Mbwana Samatta

Michango yao watu hawa Ni Muhimu Sana kwa wakati huu wakati was mapambano dhidi ya Corona sababu kwa asilimia kubwa wanategemea watu wa Hali ya chini ili waweze kufanikisha mambo yao, kukaa kwao kimya moja kwa moja inaonyesha tabia ya Choyo ...

Powerd by Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app

Waafrika walio wengi wana hulka ya kutosaidiana. Hao matajiri utawaonea tu.
 
Corona.Politicisn.jpeg
 
Back
Top Bottom