Je, Watanzania hatuaminiani?

Kwa jinsi nilivo mimi, aisee ni kweli kabisa huu utafiti.
 
Naam ni kweli,pia ni inchi ambayo viongozi wake wana
Fikiri kwa sehemu za haja kubwa,hivi kafu ishinde halafu mfute matokeo,mkiulizwa mlitumia kiungo gani kufikiri,mtasema nikipi
 
Mfalme wa Morocco alijua ndio maana haraka alikua kututembelea
 
Mimi nilidhani tuna wafanyakazi hewa tu kumbe hata uchumi wetu ni hewa basi wafanye utafiti zaidi isije ikawa hata nchi ni hewa nimeanza kustuka toka njemba moja idai yenyewe ndo mungu wa cite kuu.
 
Ujanja ujanja umeanzia kwa viongozi.
Kiongozi wetu alifariki uingereza hawakutuambia exacrly lini kafariki!
 
Kuwaamini wasio kuwa na sifa yauwaminifu, ndio sababu ya tanzania kupata sifa ya nchi isiokuwa aminifu duniani
 
Huu utafiti ni kweli kabisa, 10000000%. Viongozi wetu hawalioni hili kwa sababu wao ndo wanaongoza kwa unafiki na kukosa uaminifu. I wish we had somebody to do something about this.
 
Mimi nilidhani tuna wafanyakazi hewa tu kumbe hata uchumi wetu ni hewa basi wafanye utafiti zaidi isije ikawa hata nchi ni hewa nimeanza kustuka toka njemba moja idai yenye ndo mungu wa cite kuu.
Hazina wakikusanya mapato yote toka vyanzo vyote kabla ya kupeleka BOT wanakata panga anapewa Lipumba kwa ajili ya kuzitumia kuwadhoofisha Wapinzani,hata pesa za umma zinatumika kiharamu kwa matumizi ya kiharamia.
 
Hatari sana..
Na ndio tumeanza Urafiki na Morocco...
Si itakuwa hatari zaidi.
 
Pesa ya viwanda,pesa ya kuzuia Safari za nje,pesa za kubana matumizi na mapato kupewa Madalali wa siasa na Lipumba ndiyo Dhambi kubwa kwa Tanzania kuliko Nchi zingine Duniani,hata Lugumi na kivuko feki vinaishi Tanzania kwa 1000% Tanzania ndipo makao makuu ya maigizo.
 
Watazinduka siku wakishituka Lipumba anawachuna buzi
 
Na huko marekani Kura zinako hesabiwa upya mbona hawasemi !? Crazy hypocrites !
 
Hawa watafiti si wazalendo hata kidogo. Tanzania ndio tunajipanga na tumeshatumbua majipu kadhaa ili kurejesha uaminifu wao wanaanika utafiti wao uchwara hadharani! Tusushabikie viutafiti hivi. Tanzania ni waaminifu sana kisiasa na rushwa ni tatizo la wote!! Tuwe wazalendo jameni!!!??????
 
Na huko marekani Kura zinako hesabiwa upya mbona hawasemi !? Crazy hypocrites !
Marekani kuna Nchi 52 kila jimbo lina Tabia zake lakini kumbuka marekani haipo kwenye Nchi Aminifu napo kuna mapungufu lakini hayafanani na haya ya Tanzania ambayo ni mabaya zaidi Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…