Huwezi ku linganisha Tanzania tuliyo nayo mwaka 2020 na Tanzania tuliyo kuwa nayo mwaka 1961. Nyerere kuwa rais wa kwanza kuna tokana na yeye kuwa mtu aliye ongoza Tanzania kutoka katika mifumo ya ki koloni. Kupata undani wa kilicho tokea kipindi hicho ni ngumu lakini vile vile katika masuala haya ni vyema kuji uliza kama kulikuwa na mtu mwingine ambaye angekuwa sahihi zaidi kuliko mwalimu Nyerere.Uzoefu? Kipindi Nyerere anapewa nchi alikua na uzoefu wa Urais au kuongoza nchi before? Solution ilitolewa na Katiba ya warioba kuwa mawaziri wasitokane na wabunge ili kutoa nafasi kwa wataalamu kusimamie sekta nyeti...
Mada kuu ni kama wapinzani wana mahusiano mazuri na yakutosha na nchi zingine.Nyerere alikuwa na uzoefu gani na alipataje kuunda serikali tafakari.
Nchi yenye wasomi wengi na vyuo vingi hawawezi kukosekana wakuteuliwa kuwa watendaji was serikali, lakini pia tunajua na tunaamini watendaji wa serikali ukiondoa mawaziri ambao Ni wanasiasa hao wengine siyo wanasiasa.
Jibu swali langu! Unavyodai CCM wako imara katika kuunda serekali imara unamaanisha akina Bashite, Ndugai, Chenge,Tulia, e.t.c ambao ndiyo wataunda serekali ya CCM wako imara? Nikisema kuwa umelogwa nitakuwa nimekuonea?Acha chuki binafsi
Mada kuu ni kama wapinzani wana mahusiano ya kutosha na nchi za nje. Hicho ni kitu muhimu sana, au vipi mzee wa SumbawangaJibu swali langu!Unavyodai CCM wako imara katika kuunda serekali imara unamaanisha akina Bashite,Ndugai,Chenge,Tulia,e.t.c ambao ndiyo wataunda serekali ya CCM wako imara?!Nikisema umelogwa nitakuwa nimekuonea?
Duh!duh!duh! Magufuli ana mahusiano na nchi za nje? Mkuu unaishi hapa hapa Tanzania?Mada kuu ni kama wapinzani wana mahusiano ya kutosha na nchi za nje. Hicho ni kitu muhimu sana, au vipi mzee wa Sumbawanga
Hapo ndio maajabu yanapoanzia. Hii nchi sio saccos, watanzania lazima wajue huu ukweli. Kule kurukaruka jukwaani kwa jazba, kukashfu kila Serikali ifanyacho hakuwezi kuwasaidia. Watanzania wanaona, wanaelewa na wataamua.Nyie na saccos yenu, jipangeni kwanza 2040.WATU WAKO WANAUANA KISA UENYEKITI WA CHAMA, SEMBUSE KUUNDA SERIKALII??
Soma kichwa cha habari pamoja na maelezo. Mada kuu ni kama wana mahusiano mazuri na nchi zingineMkuu umeandika vizuri ila umekosea kusema wapinzani hawana uwezo wa kuunda selikari ,hivi tz ambayo Ina watu mil hamsini wanashindwaje kwa mfano ,mkuu mfano hata kumchukua afande mloto kuwa waziri Mambo ya ndani itashindikana acha mazalau mkuu