Je! Wangapi mnaelewa?

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Ongeza maneno yako hapa au unipm kama unaelewa maana ya haya maneno;
KIZOTA, KUNYETA, ZERO BRAIN, SUPP, MKANDARASI, UWANJA WA ZEGE, DEO, MGANGALUMA, MK, BLOCK7, KAYUKI, nk.
Hebu changia tu kama umeelewa.
 
Ongeza maneno yako hapa au unipm kama unaelewa maana ya haya maneno;
KIZOTA, KUNYETA, ZERO BRAIN, SUPP, MKANDARASI, UWANJA WA ZEGE, DEO, MGANGALUMA, MK, BLOCK7, KAYUKI, nk.
Hebu changia tu kama umeelewa.

mimi sijaelewa......na upande wangu wa PM umefungwa....inakuwaje....?

 
napita tu namtafuta Rev Fr Masanilo,kama nilisikia sauti yake huku!
 
Alafu nisemeje kwenye hiyo PM?

Lizzy we andika neno lolote tu plz, au kama huna neno la kuandika kwenye hiyo pm basi bandika namba yako ya simu.
 
Mie kupiem sijui
ila neno naloweza kukuambia ni
MGANGALUMA...
Huyu alikua mwalimu wangu wa TENGERU
pia anajulikana kama (a.k.a)MGANGAA
alikua mlevi balaa halafu ana vurugu,
ukimkuta kalewa utadhani mwanakijiji lakini akiwa class yupo makini!!
 
Asante sana Lizzy kwa pm yako nimefurahi sana. Da plety asante na wewe pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…