mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
- #61
Exactly hio ndio point yangu..Tunapozungumxia utamadun inaamana waanza kufunzwa hyo mambo tangu utoton!mfno hpo hpo dar kunamakabila hyo ni ishu ya kawaida sana week hdi week kz ni hyo tuu!!hii itawashangaza wa kishua ila watt wa mbwa hpo ndo pnywe!!!fatilia singeli zinapigwa wp ndo utaamin!!
Kwa nini watoto wahusishwe? Yet again ndo maana hawa watu ni wachache sana wanafunguka akili na kutafuta maisha.